mtumwa hauawi jamani......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na akaachika.Alipata watoto wawili kwenye ndoa yake na anaishi mwenyewe na wanae.Majuzi kuna baba mmoja aliingia kwenye ofisi ya dada yake Cindy (tumwite Brenda) na hapo ofisini huyo baba aliona picha ya Cindy na akamtunuku. Alijitahidi kuomba contact za Cindy lakini Brenda akawa anakataa.Jamaa king'ang'anizi pamoja na Cindy kumwambia dada yake asitoe contact zake lakini tokana na presha yajamaa mwisho Brenda alimpa jama namba ya Cindy.Zikanza simu na sms zisizoisha mpaka Cindy akakubali akutane na jamaa.Wakakutana,wakala,wakanywa,in the process Cindy akamweleza jama ukweli kuwa yeye ni divorcee with two kids.Kuanzia siku hiyo hajamsikia wala kumwona jamaa tena.
Cindy anajiuliza hivi jamaa kakimbia kisa ana watoto? Au kisa ni u divorcee?apparently dada yake kumbe hakumweleza jamaa kuwa cindy aliwahi kuolewa na ana watoto.
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?
 
Mi ninavyojua unapoamua kuanzisha mahusiano na mwanamke kama huyu(mimi binafsi napenda kua na mwanamke wa aina hii)kama una akili timamu unatakiwa ujue kuwa unakua responsibo na mke pamoja na wanae huo ndio ukweli.Mwanamke ambae anajua thamani ya mtoto huwezi kumtenganisha na mwanae labda wawe wakubwa.So kama unataka uwe nae ni pamoja na wanae!Wanaume wanawakimbia hawa kutokana na hayo!
 
Labda jamaa aliona mbele ya safari kutakuwa na invoice.
 
Kaka haya majina ulotumia mbona kama ya kweli bana na kisa chenyewe....Mmmmmmh......kuna watu wana majina haya na ni ndugu kweli na wako hivyo hivyo!!!!!!!!!!

Hapo kuna mawili

1. May be kweli jamaa kakimbia watoto na viambatanisho vyao kama vile life expenses
2. But walipokuwa wakila na kunywa Cindy alikuwa aki-potray characters gani in relation to the divorce or her lifestyles in general????

So yawezekana ni moja kati ya hayo au yote kwa pamoja
 
Kutokana na habari yenyewe inaelekea jamaa aliweka kwenye mzani matamanio yakazidi kipimo

Unamshauri nini huyu dada,siku nyingine akipata mtu amfiche kuwa ana watoto na ni ex wa bishanga?
 
Kaka haya majina ulotumia mbona kama ya kweli bana na kisa chenyewe....Mmmmmmh......kuna watu wana majina haya na ni ndugu kweli na wako hivyo hivyo!!!!!!!!!!

Hapo kuna mawili

1. May be kweli jamaa kakimbia watoto na viambatanisho vyao kama vile life expenses
2. But walipokuwa wakila na kunywa Cindy alikuwa aki-potray characters gani in relation to the divorce or her lifestyles in general????

So yawezekana ni moja kati ya hayo au yote kwa pamoja
Ngoja nimuulize,narudi sasa hivi.
 
Bishanga,aendelee na msimamo huo huo. hyo mzee alimtaman tu. kama angekuwa anampenda asingeangalia watoto. wala kukwepa majukumu. asubiri atampata atakaempenda yeye pamoja na wanawe! pia asiwe rahc kutoa tundi...
 
We utajasutwa wewe!!Mambo ya sijui kina Cindy unatoka nayo wapi???!

Nwy hamna mwenye uhakika kwanini huyo jamaa kakimbia zaidi ya yeye mwenyewe. Yawezekana baada ya maongezi aligundua kwamba uzuri wa Cindy unaishia kwenye sura tu na akaona 'ndo maana akapewa talaka' kwahiyo bora nae ajitenge mapema. Huyo Cindy anapaswa ajiangalie upya kabla ya kuanza kusingizia/laumu divorce na watoto.
 
Unamshauri nini huyu dada,siku nyingine akipata mtu amfiche kuwa ana watoto na ni ex wa bishanga?

Kwanini afiche??? kwa upande wangu naona ni vizuri mtu ukiwa mkweli,ni bora ajue mapema kuliko kuficha aje kugundua baadae. We kama mwanaume unaona bora kuambiwa ukweli au kufichwa?
 
We utajasutwa wewe!!Mambo ya sijui kina Cindy unatoka nayo wapi???!

Nwy hamna mwenye uhakika kwanini huyo jamaa kakimbia zaidi ya yeye mwenyewe. Yawezekana baada ya maongezi aligundua kwamba uzuri wa Cindy unaishia kwenye sura tu na akaona 'ndo maana akapewa talaka' kwahiyo bora nae ajitenge mapema. Huyo Cindy anapaswa ajiangalie upya kabla ya kuanza kusingizia/laumu divorce na watoto.
Lizzy sidhani kama umemuelewa vizuri Bishanga huyo Cindy hajalaumu kuhusu watoto wala divorce kilichotokea ni yeye kuongea na huyo mwanaume na baada ya hapo mwanaume akachanja mbuga! Hata ingekua mimi ningejiuliza kulikoni ina maana baada ya kujua kuwa ni mtaliki na ana watoto ndio kasoro mojawapo au?
Sikatai huyo Cindy ni binadamu na anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu mwingine yoyote.
 
Last edited by a moderator:
We utajasutwa wewe!!Mambo ya sijui kina Cindy unatoka nayo wapi???!

Nwy hamna mwenye uhakika kwanini huyo jamaa kakimbia zaidi ya yeye mwenyewe. Yawezekana baada ya maongezi aligundua kwamba uzuri wa Cindy unaishia kwenye sura tu na akaona 'ndo maana akapewa talaka' kwahiyo bora nae ajitenge mapema. Huyo Cindy anapaswa ajiangalie upya kabla ya kuanza kusingizia/laumu divorce na watoto.
kwani we cindy unamjua?
 
Back
Top Bottom