ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
hapa Makamba umenena ulikuwa wapi toka mwanzo
hapa Makamba umenena ulikuwa wapi toka mwanzo
kiongozi wa nini....wa mbio za mwenge au? Ufafanuzi mkuu
Toa ufafanuzi, mbona unaishia kumpongeza tu?
Kiongozi wa nini....wa mbio za mwenge au? ufafanuzi mkuu
mkuu nilikua naandika alichosema Januari makamba pale Nkulumah hakufafanua ila ni viongozi wakuu wa nchi hii
Genocide inaanza hivyo hivyo, mtu kujenga chuki dhidi ya kundi fulani. Tatizo la Tanzania ni mfumo wala sio wazee au vijana. Tukiweza kubadili mfumo na kuwa na utamaduni wa kuwajibika tutasonga mbele kwa kasi zaidi.
hapa Makamba umenena ulikuwa wapi toka mwanzo
hapa Makamba umenena ulikuwa wapi toka mwanzo