Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
wandugu, nilikuwa nahitaji kutengeneza website yangu, yenye domain ya .com,.net au .org. Tafadhali, kwa yeyote anayejua kampuni nzuri inayotoa huduma hiyo, au kama kuna mtu anayefanya huduma hiyo, naomba anipe contacts, izo contacts aziweke hapa openly ili na wengine wamjue tuwasiliane. kama yupo hapa anasoma hii thread, tafadhali naomba aweke na prices zake mfano: kwa .com, kwa mwezi nitakuwa nalipia dola ngapi?shilingi ngapi etc. Asanteni sana, nawatakia kazi njema.