MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
515
786
Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini.

Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate.

Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni moderate kabisa. Hali imebadilika ghafla, mambo yamekuwa tofauti kabisa. Kwa utanguliz huu wakuu wangu Jf he mtu, anaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Msaada wenu.
 
Ebu kuwa specific kidogo.
Kunasimama unamaanisha nini?
Maana hapo kusimama inaweza kumaanisha moja kati ya haya kusimama kwa mambo kushindwa kuendelea katika muelekeo chanya kama ilivyokuwa zamani.
Au kusimama kwamba mambo yako yalikuwa hayaendi sasa yamesimama vyema ni mwendo wa maokoto tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom