Mtu ana nyumba tatu mjini na kila moja ina mwanamke na bado anakula Hotelini!

Au mkewe ni kama NANDERA atamuwasha maswali, umeagaje ofsini, mafuta ya kuja si bora ungekula huko, mchana hapa hapapikwi kihivyooo!!!!!

basi ni dhahiri ukiwa na wake wengi unagawanya upendo hatimae unagawa woote wanapikiwa wengine coz umezoeleka huli nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................
Au mkewe ni kama NANDERA atamuwasha maswali, umeagaje ofsini, mafuta ya kuja si bora ungekula huko, mchana hapa hapapikwi kihivyooo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom