Mtu ana nyumba tatu mjini na kila moja ina mwanamke na bado anakula Hotelini!

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Wapendwa tuelezane hili, unakuta mwanaume anamiliki ghorofa, self-container, labda pia amempangishia mwanamke kwahiyo anahudumia nyumba tatu na kila moja ina mwanamke, lakini muda wa kula lunch ukifika unamkuta anakula hotelini.
Chukulia hakuna shughuli inayombana asiende kula mojawapo ya hizo nyumba. Tatizo haswa laweza kuwa nini?
 
what if ukimuona anamuita mkewe hapo hotelini ale nae?....kazi ya mke sio kupika tu..
 
Yani unaishi Kimara, kimada yupo Mbezi Jogoo una mishe town so ufunge safari kabisa????!!!!!

Ukikua utapata jibu
 
mimi nadhani angekuwa anakifurahia chakula cha nyumbani angefunga safari akifuate hata kama ni mbali.
 
Ni mazoea tu mkuu km ambavyo mtu mwingine hawezi kunywa bia nyumbani.

hapana mkuu, tofautisha bia haitengenezwi nyumbani, ila chakula unaweza kutengeneza nyumbani. Sasa kila siku unakula hotelini' ni soo, mabachela wengi ndo hula hotelini mara nyingi.
 
Men like always to be treated like some lords, unakuta mtu kagombana kidogo tu mama yoyo, anasusa kula nyumbani.

At times i can buy the idea, just imagine unagombana na mke wa #kichagga , you hv to play some manoeuvre to avoid food poisoning....
 
Anakula alikopeleka mboga au?
Hahahahahaha maisha ni kuchagua banaa!
Umuwache na life style yake!
 
labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................
 
Men like always to be treated like some lords, unakuta mtu kagombana kidogo tu mama yoyo, anasusa kula nyumbani.

At times i can buy the idea, just imagine unagombana na mke wa #kichagga , you hv to play some manoeuvre to avoid food poisoning....

kama hao wa3 wameshindwa kumpikia vizuri, atakuwa anafaidi mapenz gani hapo?
 
labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................

yeye ni kidume hivyo hao wake walipaswa wapeane zamu ya kumpelekea chakula
 
labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................
Au mkewe ni kama NANDERA atamuwasha maswali, umeagaje ofsini, mafuta ya kuja si bora ungekula huko, mchana hapa hapapikwi kihivyooo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom