Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Duh wanaume humu ndani mmenikumbusha mbali sana,those days.
Anyway,sijuhi huyu jamaa kama aliweza kupata hata msaada wa jibu la swali lake,waliosoma programu hiyo as long as we ni m-Tz siku hizi hata taasisi nyingi za umma kama uhamiaji,zimamoto n.k naona wanarecruit kwahiyo jitahidini kujaribu bahati zenu huko pia mwisho wa siku kikubwa ni kujuana sahivi, wala digrii fulani haimaanishi ni lazima ukafanye kazi hiyo,usiwe na mkono mfupi ili watu wale pesa yako na wewe upewe kazi ufanye maisha
Log off!