Mtoto wako wa kwanza ulimpataje? Soma kisa Changu

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Hope mko poa,

Aisee kuna jambo nimekaa nalo moyoni mda mrefu sana kuhusu mtoto wangu wa kwanza wa kiume, nilimpata nikiwa na umri wa miaka 16 tuu.

Ipo hivi mwaka 2008 nilikua form two sasa kipindi hicho mimi nilikua sio mtu wa wasichana kabisaa maana nilikua naona sana aibu. Kwa hiyo sikua na mambo ya wasichana kabisa na pia nilikuwaga mfupi mdogo kweli sasa basi kuna jirani yangu yeye ni mwanamke alikua yuko form 4 mwaka 2008na alikua family friends sana.

Sasa siku moja tulikua tunapiga story tuko mchanganyiko story zilikua ni za mapenzi mapenzi sasa huyu dada na Jama angu anaitwa kev mmoja hivi akaropoka akasema yaani wewe ulivo mfupi inaonekana ata hicho kinaniliu chako ni kidogo sana ata akamtaja jina huyo dada akikupa kitaishia mapajani daah nikaona aibu saana na huyo dada alikua mzuri ana hipsi hatari, basi mimi nikaa kimya wala sikuongea chochote story zikaendelea maana mimi najijua mwenyewe.

Sasa bana kumbe mkakati wa kutaka kujua maumbile yangu ukaanza pasipo mimi kujua daaah. Kipindi hicho tulikua tuna tabia ya kwenda kuoga mtoni bana na mm mara nyingi nilikua naogaga na chupi au pensi na wakati wa kuvaa nilikua naenda kuvalia pembeni kabisa mbali.

Siku ya tukio tukaoenda na washikaji zangu kuogelea mtoni mtoto wa kike akapangwa tunaenda kuogelea shida tu ajue maumbile yangu wanawake bana. Hapa mimi nilikua sifahamu chochote basi bana mimi tukaenda kuoga mtoni tukamaliza kama kawaida yangu nikaenda pembeni kukamua maji nibadilishe nguo kumbe demu bana alikua anipiga chabo daah nikavua nikabadilisha si akaniona .. mimi na washikaji tukarudi maskani.

Mshikaji mmoja akaniambia wewe noma man nikamuambia kivip ulivo kipisi hivo ila una mzigo nikaona sana aibu aisee. Nikamuambia umejuaje akaniambia flani kasema daah akamataja yule demu aisee nikamuambia kaniona wapi akasema siku ile tulivoenda kuoga mtoni alikua sehemu anakuangalia daah nikachoka saana.

Mchezo ukaanza sasa

Sasa hapo demu akawa ananiganda kweli kweli ooh tuwe tunasoma wote mara blah blah kibao sasa kwetu kulikua kuna umeme mwezi mmoja kabla ya paper akaanza kuja kusomea home wanawake bana kumbuka nilikuambia ni family friends so bibi alikua anampenda sana maana alikua ana adabu na akili so akawa anakuja kwetu usiku kusoma bana tukawa tunasoma wote.

Siku ya tukio

Siku hyo nimekaa naona anahangaika hatulii, mimi nikawa namkaushia akaanza kuniambia hivi ulishawahi nikamuambia nilishawahi nini? Akaniambia kulala na mwanamke nikamuambia hapana na wala sitaki kwa sasa akaguna.

Daa huwezi amini akaniambia leo nataka nikupe usikie joto nilipatwa na bumbuwazi aise si tukatoka nje kuna nyumba ya wageni tukaenda uko ata sijui ilikuaje nikajikuta shavua nguo bana sasa mahali pa kuingiza sipaju naingiza kwa juu inateleza akaniambia sio uko ni uku daaha huwezi amini nilivoingiza tuu aisee nilihisi hali flani siwezi elezea kidogo tuu nikatoa vitu ulikua mzigo wa manaa asikuambie mtu nilisikia raha.

Sasa mwisho wa siku ndo ikawa mchezo wetu bana

Hee siku ya siku ananiambia ana mimba aisee nilishutka sana na kaja kujua ana mimba mda ushapita mama yake ndo alimgundua bana akaulizwa ni ya nani akanitaja, daaah tulichapwa saana siku ile basi ikawa hakuna namna na alifaulu form so akazaa akalea kwanza mtoto badae ndo akaendelea na shule mtoto alivozaliwa duuh copyright aisee huwa namkumbushaga wakati mwingine anacheka sana na ni mke wa mtu sasa.

Yaani mimi niko form three naitwa BABA

Hivi ndivo nilivopata mtoto wangu wa kwanza.

Samahi kwa story ndefu na hapo nimefupisha.
 
Mimi nilianza kuogopa ukimw hata sjabalehe,nilianza kuvaa kondom zikawa hata hazinitoshi vzur

Ilikuwa darasa la sita ndo nilianza kupata nafas za kulala na demu mpaka asubuh wakat huo hata kupiz sjaanza,nmeanza kupiz nko form 1

Afu ulkuwa woga tu enzi hzo hata kumbe ukimwi haukuwepo kwa mabinti wadogo ilikuwa early 2000
 
Back
Top Bottom