Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
645
772
Kwema?

Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.

Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.

Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.

Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela

Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,

Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.

Huyu hata aki ni cheat simuachi.
 
Unampa Demu 53 nauli 45 .

So asile njiani.

Asibaki na akiba yoyote .

Unamdai mwanamke laki.

We mwanaume Tafuta hela
 
Nilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.

Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.

Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.

ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
 
Unampa Demu 53 nauli 45 .

So asile njiani.

Asibaki na akiba yoyote .

Unamdai mwanamke laki.

We mwanaume Tafuta hela
Ndio mkuu nilikua na elfu 90 tuu so nilimuambia sina hela nakutumia nauli na elfu 5 ya kula akakubali
 
Nilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.

Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.

Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.

ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Uko sahihi saana mkuu huyu wangu ni muelewa saaana
 
Nilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.

Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.

Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.

ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Mpambanaji ni yupi huyo...?
kuna watu wanapambana sana na hawapati michuzi
 
Hela rahis ipo hapa

📍Kwa mwamposa unaweza kua unalima ekar Moja ukiombewa unalima ekar 1000000000 unamiliki trekta 23457

📍Wale watu mamentor mambo ya crypto na forex wazee wa bills, nlifanikiwa nikiwa na miaka 13 nliweza kujenga kasri, biashara ambayo benki haitaki ujue

📍Wale jamaa wa platform sijui kalyinda, kiyunet, robot gn, Kila siku unafunga siku na bonge ya hesabu kikubwa uwe na activation fee

📍 Motiveshno spika wazee wa never give up kufeli Leo ndo chachu ya kufanikiwa kesho, biashara ya kuku kwa mwezi unapata faida 123% ya invested money
 
Kwema?

Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.

Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.

Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.

Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela

Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,

Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.

Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Ukiona kila unalofanya linafanikiwa ujue siku yako ya PARAPANDA imekaribia. Hayo ndio MAOKOTO yako ya mwishomwisho ya bajeti yako uliyowekewa hapa chini ya jua.

okoka haraka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom