johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,028
- 142,088
Anza na GeneralKainerugaba wa MU7 hufanya hivi pia.
Anza na GeneralKainerugaba wa MU7 hufanya hivi pia.
Tumia akili kufikiri,kwani ni wapi katiba ya nchi imevunjwa ewe usiyefikiri?Chifu Hangaya anataka kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme. Nawashangaa sana hawa watawala na machawa wao wasiotumia akili katika kuongoza nchi.
Kwani Magufuli hakufanya hivyo??
Tulijua mtanasa tu , bila kumwachia Mwabukusi hakuna siri itabaki , Wanafiki wakubwa nyie !Sasa kama waatoto wa Magufuli ni mapoyoyo kama wewe ndiy wote wawe mapoyoyo?
Hujitambui wewe na unapaswa kuwa Mirembe haraka sana kwa matibu, utakweti amanoo wewe chipua weeWewe bwege iwe chikala uletumpa
Ukiitwa mahakamani unaweza kuthibitisha hiyo kauli???Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Mmedondokea pua mahakamani mmeanza kutapatapa kama kuku wa kideriTulijua mtanasa tu , bila kumwachia Mwabukusi hakuna siri itabaki , Wanafiki wakubwa nyie !
Kama alikuwa hawezi kuongozi nchi si angesema tu akae pembeni kila kitu kimekuwa hivyo kwa sasa kwa kweliSamia ni mpuuzi tu, mjinga asiyejielewa, aliyeigeuza hii nchi, rasilimali zake, na ofisi za umma, kuwa kama mali zake binafsi, nitashangaa kama wajinga bado watawalaumu wasaidizi wake kwa huu upuuzi.
Ndio maana ametoa bandari zetu kwa waarabu milele, hii tabia ya kiswahili alikuwa nayo hata yule mwingine, nae akamuacha mtoto wake wa kiume afanye apendavyo, ajabu hawa wanafanana mpaka ujinga?!
Haya ndio matokeo ya kuongozwa na viongozi wasio na kitu kichwani - empty set, wanafanya mambo ya ajabu na aibu, huku wakitegemea yatakuwa siri, bahati nzuri Mungu anawaumbua.
Mbona umelisahau lichama lenu linaloongozwa kama saccos au mradi wa mtu binafsi aliyokabidhiwa na mkwe wake? Ndio maana Mbowe alishawafanya kama majinga tu maana anajuwa hajitambui wala kuijielewa ,ndio maana mnaswagwa tu kama ming'ombe mbugani.Nchi inaendeshwa kama gari lililokatika senta bolti
Dogo wanapozungumzia masuala ya nishati hususani umeme kutoka Mutukula hadi Mwanza...nini maana yake? Au Mwanza ni mali binafsi?Museven amesema amekutana na Mr Abdul Halim Afidh na watu wake ,, sijaona popote imetajwa serikali ya Tanzania.
Huyo mtoto wa rais haruhusiwi kuwekeza Uganda au haruhusiwi kuwekeza Tanzania?
Yeye Hafidh amepata connection ya kukutana na Museven sababu Hafidh ni mtoto wa rais hata wewe kama Una hela za kutosha basi familia yako kukutana na Mo , Rostam haiwez kuwa na ugum.
Ndivyo ilivyo mkuu na ndio maana unaona mtoto wa Abood alimuoa mtoto wa Lukuvi ,,
Inawezekana Rais Samia alimuombea Hafidh hilo shavu la kiuwekezaji.
Hiyo ipo Duniani kote.
Wewe kila mtu anakuhurumia humu umevuka mipaka ya kujipendekeza sio chawa tena ni mtu unaedhalilisha utu wako.Ondoa blaa balaa zako hapa wewe na chuki zako za kijinga. Hata akifanya Biashara anayo haki hiyo ilimradi havunji sheria, kanuni na katiba ya nchi.
🤣🤣🤣🤣Huyo ndo ridhimoko wa awamu ya 6. Hata mkataba wa bandari yeye ndo alitumwa dukani kununua peni.
Inatakiwa kuwa agenda... Hii ni hatariousHili nalo la ni ajenda tayari,kuzunguka nchi nzima kulitangaza.
Taifa na nchi yetu imechanua kwa maendeleo na kuwa Taifa la mfano barani Afrika kutokana na uchapa kazi na utendaji kazi uliotukuka wa Rais samia,ambapo sasa kila sekta inasonga mbele na kupata maendeleo ya kishindo,. Sasa ni mafanikio katika kila eneoKama alikuwa hawezi kuongozi nchi si angesema tu akae pembeni kila kitu kimekuwa hivyo kwa sasa kwa kweli
Unaelewa chochote kuhusu Mutukula power line, ni project binafsi ya mtu au ni nchi na nchi eti?Binafsi sioni tatizo. Sijaona sehemu yeyote kwamba anaiwakilisha TZ. Katumia connection ya Mama kufanikisha jambo lake.