mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
252324_123545347785303_376258987_n.jpg

kizuri lazima kisemwe,uyu mtoto tumpe sifa zake,ametulia mashalah
 
anataka awalithishe watoto urais. kweli huyu ni dictator. Ukute wana vyeo vikubwa tu!.
 
Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu
 
Sasa naanza kuona kwamba jamii forum, tu,eanza kutokuwa watu makini wa kutafakali hoja...Watoto wa Mh Rais Kagame na udictator limetoka wapi. Rwanda ni nchi ya Tatu Africa kuwa na UCHUMI BORA AFRICA ULIONDOA YA KWANZA 1.South Africa 2.Mauritius 3. Rwanda ya tatu usiniulize Tz ni ya ngapi.

Nijuavyo hawa watoto wako shule, na wanakuja tu likizo na kujiunga na JKT yao UMUGANDO....sisi tutabaki kulaumu na kucheza pool na bao saa za kazi....!! amka ujitume na uwe na Nguvu ya hoja. KEEP IT UP MH;KAGAME
 
Kunawanawake wazuri jaman,mi natafuta mwanamke kama huyu nikitoa kitu kiwe cha ukwel c kuleta mbegu fupi fupi kama vitz
 
Back
Top Bottom