Mtoto wa nje ya ndoa

Amney

Member
Feb 23, 2012
54
4
Hvi jaman kipi bora kwny ndoa kati ya kukaa na mtoto alyezaa nje mumeo au mtoto akakae kwa mama ake thn mumeo akapeleka huduma?
 
bora ukae nae wewe bana....laweza kuja baade mbeleni huko na mitabia mobaha na kuleta matatizo tui kwako
 
Hvi jaman kipi bora kwny ndoa kati ya kukaa na mtoto alyezaa nje mumeo au mtoto akakae kwa mama ake thn mumeo akapeleka huduma?[/QU? TE]

Kama kweli mume akikiri na mkaamua kukaa na mtoto bila ya mume kurudi rudi kule kwa mama yake, bora hili la kukaa na mtoto na umlee kama wako kabisaaaaaaaaaaaaaa, hila kina mama huwa tunaweza kweli? Maana kama mtoto akikaa kule kwa mama yakwe baba akiwa anapeleka matumizi mmhh!!! mama mtoto anaweza akamtega tena kwa namna nyingine baba akayakmubuka yale mautamu! kwa hiyo akataka wayarudiee!! Kwa upande wangu nikiletewa mtoto kama kweli baba atakiri kuachana na mama yake naona ni nafuu kuliko baba kurudi rudi kule!!! Na kwa kweli nitajitahidi kujmlea kama wangu. Watoto baadaye wanakuaga watamu kweli ukiwalea vizuri, sijui labda kwa kuwa mimi napenda sana watoto jamani!!! Na huwa nawaona kama hawana hatia yoyote kwa sababu kitendo huwa ni baba na mama mtoto ni matokeo ya tendo la baba na mama.
 
Mkishakubaliana mtuambie....ili tuanze mipango sasa as of now tunamashaka bado.....please dear ladies make this policy work for the benefit of us (husbands)
 
Hehehe!!!Dah sasa una hakika gani kama mtoto akiwa kwako mama mtoto hatakuwa anaenda ofisini kwa baba kulalamika mtoto wake anapata shida na anakonda?
 
Inategemea km mtoto hateseki na anazidi kunenepeana atasema nn labda awe na lake bt Co mtoto
 
Back
Top Bottom