Mtoto wa Ngeleja anaitwa nani? Nataka kutunga singo aongee na mshua wake!

Kwel we mizizi utazd kuwa chn tu..naona umefkiria mpk mwsho apo jna lake km la mtoto wa haramu wa yule babu wenu alyemzaa uzeen..eeh eh yle yle
 
Junior Richmond...

Ngeleja ananenepa Uso Shavu Dodo Sikuhizi Nchi hii ukiwa kiongozi hata ufanye madhambi ya aina gani utapeta tu
 
Mnamfahamu Ngeleja nyie?
Ni mtu flani anahasira hasira sana c mnakumbuka ishu ya mlinz alietaka kumnasa vibao?!
Mi namfahamu kitambo, nakumbuka enzi zile akirudi likizo alikuwa anachapa kazi sana hom kwao alikuwa anaamka saa11 na gunia la mbolea kichwani kwajl ya shamba lake la pamba na alichapa kaz frm hiyo saa11 alfajl mpaka ngoma 3 usiku bila kula!
Lakn maskn jaman mtoto huyu wa mkulima kabadlshwa nas mafsadi anapelekwa ka kidagaa!
Oftenly huwa namshauri apige chini mzgo aendelee na carrier yake ya uanasheria coz ilkuwa inamlipa vzr enz zle akiwa crdb,voda.
Mara kibao nimekuwa nikiongea na mkewe Brandy amshauri mumewe aachane na siasa za majitaka lakn nahc anakomaa kwa shnikzo!
Sie Wanasengerema we trusted him at first na ndo maana tukamchagua atuwakilishe lakn uwaklsh sasa haupo zaid ya kuumiza bchwa na project za kisiasa et mirad ya umeme ya mpaka miaka 5 ndo either Watz tutaondokana na tatzo la umeme or not!
Wakat huo viwanda vnafungwa watu hawazalishi, hosptal hazioparate kisa umeme hakuna n.k
Kiukweli napenda tu nidclare interest ya kumung'oa kupitia CDM the year 2015 plz nipeni support zenu na ninaamini ntamung'oa.
Ni hayo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom