Tulipigania uhuru kuondoa aina zote za matabaka na unyonyaji katika jamii ya watanzania hasa hasa weusi ambao ndio wengi na wako tabaka la chini. Leo hii weusi wachache wamerudisha matabaka na unyonyaji ule ule uliopngwa wakati wa ukoloni.
Vita dhidi ya matabaka na unyonyaji kwa wakati huu inahitaji nguvu kubwa kuliko hata wakati wa ukoloni kwani maadui ni wenzetu!
Vita dhidi ya matabaka na unyonyaji kwa wakati huu inahitaji nguvu kubwa kuliko hata wakati wa ukoloni kwani maadui ni wenzetu!