Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,156
Nyie mnajuwa tulipotoka au mna payuka tu humu?
Kumbe "mlipotoka"??
Nyie mnajuwa tulipotoka au mna payuka tu humu?
Kumbe "mlipotoka"??
Nilikuwepo, nnajuwa nilipokuwa nashindwa hata kupata sukari wala unga wala kandambili. Tanzania hii hii. Mpaka kuwa na baiskeli ilikuwa ni anasa Tanzania hii hii, kwenda Bukoba au Mwanza toka ilikuwa unakwenda na kufika kupitia Tanzania (tulipopata Uhuru), mpaka ikafikia uende Kenya ndio ufike huko baada Uhuru. Kikwete leo hii ametuwezesha kuondoka asubuhi na kufika Mwanza jioni hiyo hiyo tena ni kwa barabara na bila kupita Kenya. Au hilo hamjui?