Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Enz ya mzee wetu tulikaa Sana hapo na yule mgombea flan tukipanga mipango ya kurud kule jij jipya
 
Heri anaekunywa pombe kwa hela yake,huyo anajua mboga 7 kabla hajazaliwa.
Wewe shida na dhiki ndio makuzi uliyokulia
Kwahiyo mtu akiwa mboga saba ndo awe fala wakulewa mpaka anapiga kichwa chini?

baba kalewa mpaka kavunja mguu na mtoto kalewa kapiga kichwa chini.karithi kwa baba yake,ndo watu wa namna hii wapewe nchi?
 
Mmiliki ni Nani? Nikija dar na Mimi nitajiunga

California love

Kujiunga ni lazima uwe na wadhamini wawili ambao na wenyewe ni members wa hapo yatch club

Hauwezi kuamka tu ukajiunga ukijiskia wana complications
 
Hapo Dar Yatch Club ukishangaa kiingilio kuna watu wanamiliki boat ndogo za bei mbaya.

Kuna watu wanafanya matusi kuna boti ya mtoto wa Bakhresa kaweka Sound System ya Usd 10,000.
Kuna member mule wana boti za bei chafu.

Na kuna member wana boat mpaka za milioni tano TZs yatch club jina tu , ukitoa Bakhresa na Arabs and Indians wengine wenye pesa ndio wenye kununua expensive and new yatch watu wengi weusi wananua boat used za milioni tatu tano ili na yeye awe member

Kwa hiyo msitishane sana ,
 
Updates Wazee..!!
Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.

Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.

Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.

Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.

Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.

Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
 
Acha uongo Did you do your reach?au umekurupuka
 
Back
Top Bottom