Ana miaka 21 tu, ameshikwa na heroin kilo 200 zenye thamani ya Shilingi bilioni 9. Amekamatwa huko Lindi jana. Kwa mujibu wa polisi kitengo cha madawa, hii imevunja rekodi tangu kitengo hicho kilipoanzishwa mwaka 1990. Kama binti wa Liyumba ni dealer, vp baba yake? Vp na wengine?
Source: Nipashe/Mwananchi.
Natamani sheria za China au Iran kuhusu madawa ya kulevya zitungwe hapa Tanzania.
Ana miaka 21 tu, ameshikwa na heroin kilo 200 zenye thamani ya Shilingi bilioni 9. Amekamatwa huko Lindi jana. Kwa mujibu wa polisi kitengo cha madawa, hii imevunja rekodi tangu kitengo hicho kilipoanzishwa mwaka 1990. Kama binti wa Liyumba ni dealer, vp baba yake? Vp na wengine?
Source: Nipashe/Mwananchi.
Ni yupi,,yule ambaye inadaiwa Liyumba mwenyewe alim.......
huyo ni m1 tu wako watoto wa vigogo na vigogo wengi sana wanaofanya biashara ya unga na ndo mana pamoja na kelele nyingi za upigaji vita lakini biashara inaendelea km kawa na watuhumiwa papa hawakawatwi vinakamatwa vidagaa 2

bilion tisa?mbona ndogo,jaman wapo wadau wale wapakistan kule tegeta walikutwa na mzgo wa sh ngapi,?ni zaid ya bil 9
Hizi sio njama kweli? I sniff something, sio kama ya mtoto wa Mengi hii? Ngoja tuone...
Ana miaka 21 tu, ameshikwa na heroin kilo 200 zenye thamani ya Shilingi bilioni 9. Amekamatwa huko Lindi jana. Kwa mujibu wa polisi kitengo cha madawa, hii imevunja rekodi tangu kitengo hicho kilipoanzishwa mwaka 1990. Kama binti wa Liyumba ni dealer, vp baba yake? Vp na wengine?
Source: Nipashe/Mwananchi.
Huyu binti ni askofu wa kanisa Gani?maana tuliambia wauza unga pia Maaskofu wamo