Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

Ana miaka 21 tu, ameshikwa na heroin kilo 200 zenye thamani ya Shilingi bilioni 9. Amekamatwa huko Lindi jana. Kwa mujibu wa polisi kitengo cha madawa, hii imevunja rekodi tangu kitengo hicho kilipoanzishwa mwaka 1990. Kama binti wa Liyumba ni dealer, vp baba yake? Vp na wengine?

Source: Nipashe/Mwananchi.
 
Mods ukipost wauza unga anakwambia weka ushaidi,ushaidi gani jamani??????? Wauza unga ni wengi jamani, Muulizeni Godfrey Nzowa anajua kila kitu,binti anasukuma podaaa je mdingi wake je?????
 
huyo kachomwa tu na nanhiii....mbona hata nanhiii nasikia nae anafanya hayo makitu...?? nasikia waliwachoma wale wa pakistan waliokamatwa mbezi beach kisa walizinguana mgao....washua wengi hapa town wanajeuri kutokana na hayo mambo....R.I.P amina chifupa manake yawezekana kwenye ile list yake hawa nao walikuwemo.
 
Tanzania tukiendekeza huu ujinga hatutaijenga hii nchi kamwe. nani kasema hela za unga zinajenga na kuinufaisha nchi? Tunapoteza muda wetu bila sababu. Tuingie kwenye biashara za kueleweka. Kenya wanauza maua, mazao ya kilimo etc! Why not us???
 
Source: Nipashe/Mwananchi.

nakala ya gazeti la lini?............................by the way huyu mtoto wa Liyumba ana cheo gani katika siasa......au kaolewa na mwasiasa yupi..................nijuavyo familia yao siyo ya wanasiasa.....................kwa hiyo hii mada ihamishwe hapa.......
 
Hongera kamanda nzowa kwa kazi nzuri ya kudhibiti biashara haramu kwenye viwanja vyetu vya ndege na mipakani..tunataka ukaze uzi kwa wale viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara hii haramu,tuko pamoja na wewe daima
 
hivi kuna connection ya yule kiongozi wa dini muuza unga na hii zari maana ametoa tamko la warning kwa chama twawala,Leave US ALONE SISIEM
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka, ulitegemea afanye biashara gani wakati amelelewa katika ufisadi?

Kazi kwelikweli.
 
Daaaah huyo binti ni noma, ngoja amfuate njia ya baba yake aende akanyee mtondooo Keko!!!! Alijitia kushungulikia sana baba yake nikajua ni kabinti ka maana kumbe hopeless kabisa!
Ana miaka 21 tu, ameshikwa na heroin kilo 200 zenye thamani ya Shilingi bilioni 9. Amekamatwa huko Lindi jana. Kwa mujibu wa polisi kitengo cha madawa, hii imevunja rekodi tangu kitengo hicho kilipoanzishwa mwaka 1990. Kama binti wa Liyumba ni dealer, vp baba yake? Vp na wengine?

Source: Nipashe/Mwananchi.
 
Back
Top Bottom