Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Status
Not open for further replies.
wewe unaprove hujuha wako, kuitenda quruani ivo adhabu yake ni zaid ya kugeuka panya au mjusi au kuwa kichaa km wewe ulvo kichaa zaidi uyo kafiri wenu kikojoz ashukuru polis kwa ambacho kingemkutaa, laiti km angeingia mikon mwa walokua wakimsaka angesali yesu amgeuze panya, kichaa au ata mjusi sipati picha kafiri uyu mtoto leo angekuwa wap? Na akitoka itabid aishi kanisani milele o.w km tupo 2tasimulia

wale wale.... Fikiri kabla ya kuropoka....
 
Jason Borne, are you serious???? Muuislamu akojolee msahafu wa Kiislamu halafu hasira zielekezwe kwenye Makanisa!!! Ridiculous!!!
 
Tupe chanzo na vile vile wewe mleta hii habari ni muongo mkubwa ila ni chuki za kidini zinakusumbua kichwani na kujaribu kukuza usichokijuwa
 
Akojolee muislam hofu makanisani inatoka wapi? au ndo wameshaona ni shamba la bibi? hawajui kama tuko wengi? na tutawapa kipondo? wakiomba msaada wa waarabu na si tunamwambia Obama awaonyeshe kazi. Inawezekana ni hii gas ndo inatuletea tabu wkt hata kuichimba bado
Ulinzi umeimarishwa hakuna wakusubutu kuleta ghasia
 
Kama ni kweli wametishia kuchoma makanisa,tafsiri yake ni kwamba wamemtuma afanye hivyo ili wapate sababu ya kuanzisha vurugu huku wakitoa sababu kuwa alishawishiwa na wakristo
 
Sasa huyo naye ni Mgaratia!1??Wawapige walimu wa madrasa wanaowafundisha wameanza kuona wanapandikizwa chuki!!
 
Hali ya hofu imetanda baada ya Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Ali Mohamed Ali kukojolea Msahafu maeneo ya Mkanyageni Zanzibar.

Hali imekuwa ya hofu zaidi kutokana na waumini wa dini ya kiislamu kuchukizwa zaidi na tukio hilo na sasa wanataka kuvamia makanisa ya zanzibar!

Ulinzi umezidi kuimarishwa kwakuongeza idadi ya makomandoo na wanausalama zaidi!

Nazaidi kundi la UAMSHO jana limefutiwa usajili wake.

Nitawajuza zaidi kitakachojiri

Watu hupimwa kwa busara walizonazo, lakini tunalazimika kukupima kwa ujinga ulionao. Huu ni utunzi, mungu tuepushe mbali na watu wa aina yako kwa ustawi wa Taifa hili, amen.
 
Kwa maana hiyo kumbe kuna matukio mawili tofauti hapa ya kukojolewa quran huko Zanzibar; kuna huyu wa Mkanyageni na yule wa Wete, Pemba.
 
wewe unaprove hujuha wako, kuitenda quruani ivo adhabu yake ni zaid ya kugeuka panya au mjusi au kuwa kichaa km wewe ulvo kichaa zaidi uyo kafiri wenu kikojoz ashukuru polis kwa ambacho kingemkutaa, laiti km angeingia mikon mwa walokua wakimsaka angesali yesu amgeuze panya, kichaa au ata mjusi sipati picha kafiri uyu mtoto leo angekuwa wap? Na akitoka itabid aishi kanisani milele o.w km tupo 2tasimulia
Hakuna kitu wewe! tisha wajinga,tutendelea kuwatuma wakojolee hako ka novel hadi kaelee.Mtakoma mwaka huu.
 
Ali Mohamed Ali.....
Sasa makanisa ya watu hapo yamewakosea nini?
Kuna kucheka cheka kwenye hili suala, hakika......
Tungekuwa serious kweli hao watu wangeshughulikiwa mpaka wakisikia neno Kanisa wanakimbia, hapo upuuzi wa kuchomeana nyumba za ibada ungeisha......
Sio kwa upuuzi unaoendelea saiv eti hao matahira wanajijambisha wenyewe na wanajikimbiza wenyewe halafu hao kuchomea wenzao mali, kama si mchezo ni kitu gani?
Na nyinyi wakina JB na wenzenu hamna kitu, mnavyopelekwaga Urusi huwa mnaenda kushangaa maghorofa na kuota baridi ya theruji tu uh??
Maana sioni science ya warusi ikifanya kazi katika upuuzi huu.....
 
Tupe chanzo na vile vile wewe mleta hii habari ni muongo mkubwa ila ni chuki za kidini zinakusumbua kichwani na kujaribu kukuza usichokijuwa

hii habari ni ya kweli hata mimi nimeisikia kwenye vyombo vya habari.
 
haya sasa kazi imeanza upya...sijui wale ndugu zetu watakuja na movie gani mpya safari hii.........
 
Mbinu ya Makafiri kutaka kuzima mjadala wa awali. Watadanganywa watoto wadogo, mbinu za kisiasa hadi kwenye dini, tunaelekea kubaya.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom