Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Status
Not open for further replies.
Ni kijana wa ki islamu huko Pemba.Alikojolea quran kisha a kamvisha mbwa tasbih na kumpeleka kwa bibi yake. Bibi aka report kwa sheha wa mtaa kijana akakamatwa. Source Radio France International.
 
Weka picha tunapoelekea watu wataunyea sasa.Tatizo dhahania ya kugeuka mjusi dogo kaiprove wrong.
 
Je wajua hizo ni njama tu za waislamu ili waweze kufanikisha vurugu zao dhidi ya makanisa huko zanzibar na hata huku bara,chukulia lile tukio la Mbagala na kufuatia kuchomwa makanisa hapo hakuna uhusiano kabisa lakini kwa sababu wamelisuka ndiyo maana mambo kama haya yanajitokeza.
Jiulize mwenyewe mbona hajachukuliwa hatua yeyote yule mtoto aliyempa hiyo quran aikojolee??????? haya ni mambo tu ya kutunga ili tu kuondoa utulivu katika nchi yetu.
 
Wanatafuta kisingizio cha kuandamana, leo si ijumaa!!?? afu hiyo quran kwa sasa itapata shida, maadamu wamegundua kuwa ikikojolewa ni poa tu, sasa sijui wataenda kuchoma msikiti anako swali huyo ndugu yao
 
Hali ya hofu imetanda baada ya Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Ali Mohamed Ali kukojolea Msahafu maeneo ya Mkanyageni Zanzibar.

Hali imekuwa ya hofu zaidi kutokana na waumini wa dini ya kiislamu kuchukizwa zaidi na tukio hilo na sasa wanataka kuvamia makanisa ya zanzibar!

Ulinzi umezidi kuimarishwa kwakuongeza idadi ya makomandoo na wanausalama zaidi!

Nazaidi kundi la UAMSHO jana limefutiwa usajili wake.

Nitawajuza zaidi kitakachojiri
 
Sasa mkuu inakuwaje waislam kwa waislam,tutaona watakavyotoana macho hapo,ila marufuku kuchoma makanisa safari hii wachome misikiti
 
Muislam ajojolee msahafu..af watishie kuchoma makanisa?! Hmmm kwanin
 
Sasa mkuu inakuwaje waislam kwa waislam,tutaona watakavyotoana macho hapo,ila marufuku kuchoma makanisa safari wachome misikiti

Kinachoshangaza ni kuwa waislam wanataka kuvamia ofisi za serikali na makanisa.

Ila ulinzi umeimarishwa sana, hakuna atakaeleta vurugu
 
weka picha tunapoelekea watu wataunyea sasa.tatizo dhahania ya kugeuka mjusi dogo kaiprove wrong.

wewe unaprove hujuha wako, kuitenda quruani ivo adhabu yake ni zaid ya kugeuka panya au mjusi au kuwa kichaa km wewe ulvo kichaa zaidi uyo kafiri wenu kikojoz ashukuru polis kwa ambacho kingemkutaa, laiti km angeingia mikon mwa walokua wakimsaka angesali yesu amgeuze panya, kichaa au ata mjusi sipati picha kafiri uyu mtoto leo angekuwa wap? Na akitoka itabid aishi kanisani milele o.w km tupo 2tasimulia
 
Ebu tueleze huyo mtoto anauhusiano gani na makanisa kutaka kuchomwa?
 
Sasa kwanin wachome makanisa.? Sijaona uhusiano uliopo kati ya huyo mtoto na kanisa
 
Akojolee muislam hofu makanisani inatoka wapi? au ndo wameshaona ni shamba la bibi? hawajui kama tuko wengi? na tutawapa kipondo? wakiomba msaada wa waarabu na si tunamwambia Obama awaonyeshe kazi. Inawezekana ni hii gas ndo inatuletea tabu wkt hata kuichimba bado
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom