Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Status
Not open for further replies.

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Wapo radio wasema kuna mtoto huko Pemba kakojolea msaafu na akamvesha mbwa tasbihi shingoni!
Nimesikiliza Radio wapo asubuhi hii kuna habari zinasema kuna kijana amekojolea kurani na sasa polisi wanamshikilia, kuepika hasira za jamii iliyomzunguka.
Hali ya hofu imetanda baada ya Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Ali Mohamed Ali kukojolea Msahafu maeneo ya Mkanyageni Zanzibar.

Hali imekuwa ya hofu zaidi kutokana na waumini wa dini ya kiislamu kuchukizwa zaidi na tukio hilo na sasa wanataka kuvamia makanisa ya zanzibar!

Ulinzi umezidi kuimarishwa kwakuongeza idadi ya makomandoo na wanausalama zaidi!

Nazaidi kundi la UAMSHO jana limefutiwa usajili wake.

Nitawajuza zaidi kitakachojiri
Kijana wa kiislam aliyejulikana kwa jina moja la Farid amefikishwa mahakamani baada ya kukojolea quran na kumvisha paka tasbihi.

Source: Wapo Radio
 
Ha ha ha ha!!1 Nasubiri kuchomwe misikiti na waislam wenyewe!!! Wakristu wala hata mkojolee Biblia au kuvalisha mbwa rozari but amani iko pale pale. Sana sana wanakuombea Mungu akupe msamaha wa kweli!!
 
Wapo radio wasema kuna mtoto huko Pemba kakojolea msaafu na akamvesha mbwa tasbihi shingoni!

Ahaaa! Wapo radio, nangoja nisikie kwenye vyombo vyengine vya habari, hiyo radio siiamini hata kidogo.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
tusubiri matamko au maandamano kesho...hawawezi choma misikiti kwani hakuna sadaka na vitu vya thamani vya kupora huko...
 
Tuone wamuue kwa kumkata shingo!ama la watageuza stori isomeke vingine!ni ukosefu wa fikra na ajira kwa vijana wengi pande zile
 
Hakuna habari a maendeleo, stori zimekuwa hizi hizi jamani. Watakojolea ngapi na hadi lini?
 
Kijana wa kiislam aliyejulikana kwa jina moja la Farid amefikishwa mahakamani baada ya kukojolea quran na kumvisha paka tasbihi.
Source: wapo radio

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimesikiliza Radio wapo asubuhi hii kuna habari zinasema kuna kijana amekojolea kurani na sasa polisi wanamshikilia, kuepika hasira za jamii iliyomzunguka.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom