Kifuniko Member May 20, 2011 97 17 Apr 18, 2012 #1 Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Apr 18, 2012 #2 mmh unazo life saving facilities ama bouyants?????????
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Apr 18, 2012 #3 hiyo 1 mil unanipa mimi kama asante kwa kukupa raha au ndio ya kugongea menu?
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Apr 18, 2012 #4 gfsonwin said: hiyo 1 mil unanipa mimi kama asante kwa kukupa raha au ndio ya kugongea menu? Click to expand... kila kitu kisha pigia bajeti kwenye hiyo M..
gfsonwin said: hiyo 1 mil unanipa mimi kama asante kwa kukupa raha au ndio ya kugongea menu? Click to expand... kila kitu kisha pigia bajeti kwenye hiyo M..
S SI unit JF-Expert Member Feb 24, 2012 1,953 766 Apr 18, 2012 #5 Kifuniko said: Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2 Click to expand... . We kifuniko chupa zipo wazi kazifunike unafanya nini humu Jf. Isitoshe humu Jf hamna watoto, wapo shule.
Kifuniko said: Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2 Click to expand... . We kifuniko chupa zipo wazi kazifunike unafanya nini humu Jf. Isitoshe humu Jf hamna watoto, wapo shule.
Michael Scofield JF-Expert Member Jul 30, 2011 1,225 471 Apr 18, 2012 #6 Shida yako ni kuopoa kutoka humu JF au umekuja kuuza sura uonekane na wewe unazo?
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Apr 18, 2012 #7 hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA...
hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA...
Kifuniko Member May 20, 2011 97 17 Apr 19, 2012 Thread starter #8 BAGAH said: hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA... Click to expand... Neno kifuniko lina maana nyingi mojawapo ikiwa biki...
BAGAH said: hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA... Click to expand... Neno kifuniko lina maana nyingi mojawapo ikiwa biki...
Kifuniko Member May 20, 2011 97 17 Apr 19, 2012 Thread starter #9 Michael Scofield said: Shida yako ni kuopoa kutoka humu JF au umekuja kuuza sura uonekane na wewe unazo? Click to expand... sio kwamba ninazo bali maisha ni mipango tu na ndio mpango wangu kujibana siku za kazi na kutumia weekend
Michael Scofield said: Shida yako ni kuopoa kutoka humu JF au umekuja kuuza sura uonekane na wewe unazo? Click to expand... sio kwamba ninazo bali maisha ni mipango tu na ndio mpango wangu kujibana siku za kazi na kutumia weekend