gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
wadau wa jf, eti feni sio nzuri kwa mtoto mchanga? Nazungumzia zile (pangaboi) za juu and not stand fans! Pls naomba mnisaidie kutambua kama zina madhara,n its side effects!
Jamani hata kama ikiwa ipo kwenye low speed? Mtoto wangu huwa ana sweat sana kwajili ya joto,na hii hupelekea kulia sana!
Ninapo switch on fan inakuwa afadhali. Je ni sawa? Au natafuta matatizo kwa mtt? Plz help... riwa?