Mtoto kutapika sn

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Mtoto katapika zaid ya mara 5 kila anachokula baada ya mda kinatoka. Hana joto na anacheza vzr 2. Ni nin sa7bu na dawa yake?
 
Mkimbize hospitalini haraka ukamuone dr. yawezekana anasumbuliwa na tumbo.
BTW ana umri gani huyo mtoto???
 
Back
Top Bottom