Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,226
- 2,842
Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)
Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani kila nikienda nawaambia kabisa kwamba huyu dawa ametumia sana lakini bado kwahiyo angalieni namna nyingine ya kumtibu lakini wapi!
Swali la nyongeza hivi hii habari ya kinyama kwenye koo maarufu kama (kimea/kimeo) ipoje wataalamu wa tiba maana wengi wananishauri niende akakatwe hicho kitu lakini moyo wangu unakataa kabisa