Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
TZ Uzembe huu mpaka lini.........Poleni wafiwa
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki,ndio mipango ya mungu
Yeye ndie aliyeumba heri na shari, na ndio maana Ayoub alijalibiwa kupimwa imani yake
Mwenyezi Mungu ashukuriwe.
Ila sijaelewa kitu kimoja, mbona watu wote hao wanamrudisha mtoto mmoja, sio wengine wangeendelea kuwatafuta wengine?