Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

mi naona wote wana makosa japo la yule mtoto halitakuwa kubwa sababu tu ya umri wake..kile kitabu ni cha jumuia!
Watoto hawana malezi toka kwa wazazi wao..

mkuuu hapa nyosha maelezo vizuri, mimi naamini kuna malezi mengine yamepinda.Huyo mtoto wa kwanza aliyemwambia mwenzake kuwa akikojolea qoran atakuwa mnyama naye amefundishwa hivyo na wazazi wake,badala ya kumfundisha kuheshimu kitabu hicho,matokeo yake akawasimulia wenzake alichofundishwa na wazazi/waalimu wake hili limetufikisha hapa tulipo.Wakristo wanamheshimu Yesu kuliko hata biblia,mbona Yesu anatukanwa kwenye misikiti na kwenye mihadhara na watu wazima wala siyo watoto mbona hatujaona maandamano.AMANI YA NCHI YETU IKO MIKONONI MWETU SISI WENYE DINI ,TUIDUMISHE KWA KUVUMILIANA.Ningekuwa mimi hao watoto wote wawili ningewachapa viboko na kuwafundisha kuheshimu kitabu cha mungu.
 
"Sharia" ya kukojoa kwenye msahafu ya Saudi Arabia ya mwaka 1712. Akipatikana na hatia, adhabu yake ni kukatwa kichwa
kikwete akatwe kichwa kwanza kabla ya huyo mtoto, kwa kuwa DHAIFU zaidi ya UDHAIFU!
 
kuna watu waliiba samaki aina ya papa maeneo ya kwa njeka tanga, samaki walikuwa mali ya mashekhe fulani, wakatangaza kwenye maspika ya mcktn kuwa wanapewa cku 3 warudishe vinginevyo itasomwa albadiri. jamaa hadi leo wako mtaa wazima. sasa huyo dogo c asomewe ili afe
 
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??

Mkuu wangu Pure Number nakuhakikishia hata uinyee na kuichambia BIBILIA hakuna Mkristo ataandamana wala kutoa tamko maana kazi hiyo si ya mwanadamu bali Mungu mwenyewe, usihukumu maana utahukumiwa
Wewe nenda dukani kanunue BIBILIA na uichane mbele ya muuzaji ununue nyingi chana tena ataendelea kukuuzi tu maana hakuna mwenye mamlaka ya kukuhukumu zaidi ya mwenye BIBILIA sana sana atakuonea huruma na kukukumbuka wenye sala yake Mungu akusaidie

BIBILIA ni kitabu kama kitabu cha darasani au cha mapenzi au kitabu chochote kile,ni material imetengenezwa na binadamu kinacho matter ni neno la Mungu linaitwa BIBILIA na si Kitabu kilichoandikwa BIBILIA, na ndio ndio maana NENO LA BIBILIA hata ukichoma vitabu litabaki milele

Unajua ni makanisa mangapi yamechomwa moto Zanzibar? umewahi kusikia vurugu zozote toka kwa wakristo?
mmejaza video youtube mnaukashfu ukristo kwa title za waimba injili, umewahi kusikia wakristo wanacomplain na luleta fujo?
Mnakaa na vispika vyenu kutwa Yesu sio Mungu mitaani, umewahi kusikia wakristo wanafanya fujo wanakashfiwa Mungu wao?
Kashfa zote dhidi ya ukristo za mikanda ya video toka kenya na akina Ponda pamoja na radio imani na heri, umewahi kusikia mkristo kaandamana?

Kwa taarifa yako mlichofanya Mbagala kitaripotiwa Polisi tu kutimiza takwa la kisheria na the rest watu watapiga goti na kumlilia Mungu wao awasamehe na kuwapa hekima maana hamjui mtendalo
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??
Ww Binadamu mbinguni au Jehanamu unapajua? au unahadithiwa tu km mapokeo?
Kafiri ni mtu mweusi huko Asia kusini na kitendo cha ku-copy BIBLIA na ku-paste kitabu chako halafu unawalazimisha watu wahudhurie WALAA-HAWAKUBALI toka alfajiri mpaka usiku usilazimishe Imani yako rejea Satanic Verses cha Salman Rushdie
Huyu mtoto acheni ashtakiwe ili kumnusuru na kifo hawa watu bila kusikia kaadhibiwa wataimaliza familia yake
 
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??

Mungu akusamehe maana haujui ulitendalo. Tatizo la kujifunza dini kupitia lugha usiyoielewa vizuri linajionyesha hapa. Kumuita mwenzio kafiri unadhani umemtusi kumbe na mwenzio anakuita kafiri. Kwangu waislamu wote ni makafiri maana si wa imani yangu.
 
me nisaidieni jaman ameshitakiwa kwa kosa gani? ni kuharibu mali ya dini au kudhalilisha dini kwa kukojolea huo msaafu cjui au chanzo cha kusababisha machafuko? hizi sheria nazo kweli ngumu
 
Mimi ni Muislamu naswali sala tano. Sheikh wetu hapa Kunduchi Mtongani anatukana Wakristo asubuhi, mchana hadi jioni...yaani 24/7. Mbona Wakristo hawajachoma msikiti wetu? Polisi walishapelekewa malalamiko lakini hawajachukua hatua yoyote. Je, ni ujinga wa Wakristo au woga? Mi nadhani wamekomaa kiakili
 
Mauaji ya mwandishi Mwangosi rais hajatoa kauli hadi leo!! Lakini kisa cha mtoto mdogo kukojoa tayari keshasema hilo ni kosa kubwa! Na waliojichukulia sheria mkononi kuchoma makanisa je hao haoni kosa lao!!
 
Mkuu wangu Pure Number nakuhakikishia hata uinyee na kuichambia BIBILIA hakuna Mkristo ataandamana wala kutoa tamko maana kazi hiyo si ya mwanadamu bali Mungu mwenyewe, usihukumu maana utahukumiwa
Wewe nenda dukani kanunue BIBILIA na uichane mbele ya muuzaji ununue nyingi chana tena ataendelea kukuuzi tu maana hakuna mwenye mamlaka ya kukuhukumu zaidi ya mwenye BIBILIA sana sana atakuonea huruma na kukukumbuka wenye sala yake Mungu akusaidie

BIBILIA ni kitabu kama kitabu cha darasani au cha mapenzi au kitabu chochote kile,ni material imetengenezwa na binadamu kinacho matter ni neno la Mungu linaitwa BIBILIA na si Kitabu kilichoandikwa BIBILIA, na ndio ndio maana NENO LA BIBILIA hata ukichoma vitabu litabaki milele

Unajua ni makanisa mangapi yamechomwa moto Zanzibar? umewahi kusikia vurugu zozote toka kwa wakristo?
mmejaza video youtube mnaukashfu ukristo kwa title za waimba injili, umewahi kusikia wakristo wanacomplain na luleta fujo?
Mnakaa na vispika vyenu kutwa Yesu sio Mungu mitaani, umewahi kusikia wakristo wanafanya fujo wanakashfiwa Mungu wao?
Kashfa zote dhidi ya ukristo za mikanda ya video toka kenya na akina Ponda pamoja na radio imani na heri, umewahi kusikia mkristo kaandamana?

Kwa taarifa yako mlichofanya Mbagala kitaripotiwa Polisi tu kutimiza takwa la kisheria na the rest watu watapiga goti na kumlilia Mungu wao awasamehe na kuwapa hekima maana hamjui mtendalo

i like this!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??

Pure Number, nenda taratibu. Katika ukristo biblia ni kitabu kama vitabu vingine. Cha muhimu ni kilichoandikwa ndani yake. Biblia yangu, kama imeanza kuchakaa naweza hata kutupa jalalani, kuwashia moto wa mkaa au hata kutupa ktk dust-bin. Utakatifu wa Biblia unakuja pale unapoyafanyia kazi yaliyoandikwa ndani yake.
 
mtoto mwenyewe miaka 14, form 1, afu watu na miaka yao ya kobe eri wanaandamana eti kiasi cha mtoto ambaye haja funguka kiakili mnataka kumuua, tuache kuishi maisha ya kuiga tuishi mafundisho na madili ya dini zetu, naamini hakuna dini inayohalalisha kifo.... am out.
 
Back
Top Bottom