Mtoto akiungama kwa padri.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(Padri);Haya anza kuungama. (Mtoto):Dhambi ya kwanza;NILIUA!>> (Padri):Eenh!subiri kwanza,ulimuua nani?,kuwa huru mtoto,hautashtakiwa kwani hapa upo mbele ya MUNGU na atakusamehe buree. (Mtoto);Okay,kila siku alikuwa anatoka kwao anakuja kwetu kula mahindi,nikaamua kumuua yule mbuzi halafu nikamtupia chooni kisirisiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom