Mtonyaji: CHADEMA mshukuruni Lissu na waandishi wa Habari sakata la Mwangosi vinginevyo...

Kama siyo hawa makamanda wa ukweli pengine leo story ingekuwa tofauti kabisa. Chadema ikiingia madarakani na kubadilisha maisha ya watz hawa nao wajue kuwa mchango wao wa kiprofession ulikuwa mkubwa sana. ktk siasa tukio moja linaweza kubadilisha kila kitu.

Kabisa kamanda.

Hawa ni watu wa kuheshimu maana sio tu wamediriki bali wamefanya kweli. My hat off!

Ni vema CHADEMA wakiingia madarakani waangalie namna ya kuwatunza, ila nasi pia tuna wajibu kwa kutunza historia/kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Miaka ile ya 1970(s) elimu ya msingi tulikuwa tunawaimba mashujaa wengi kama akina Seth Benjamin. walienziwa na kutambulika kwa mchango wao na ujasiri wao. Hawa waandishi (walio hai) ni living legends. Wajue na kukubali status yao ya ushujaa tokea sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
mkuu, kumbe we ni mwanachadema, nilikuwa nikikuheshimu sana vile nikikuona katika kipima joto cha Masako kwa kudhani kuwa ni mwakilishi wa kweli wa wananchi kwa maana ya a neutral person......

....poor me!!!
 
Jamani kuna watu au hawa vijana akina Zomba wapo hapa kubadili mwenendo mzima wa mada watu wote wanamjadili yeye sasa,ikibidi mtu kama huyu ni kum ignore
 
Mungu atasimama hakika si kwa kuwa ni chama ama ni itikadi fulani inasukuma. Bali ni suala la kuwa damu isiyo hatia itaidai haki yake. kumbuka "Kaini... kwanini umemuua ndugu yako, tazama damu yake inakulilia katika nchi". Damu hii (ya Mwangosi) isiyo hatia haitaacha kuililia serikali na system nzima iliyosababisha mauaji haya.
 
Kuna amri halali imetolewa na hii itazidi kuwasumbua sana.....Nature yote iko against utawala wa serikali hii na chama chake.....

Watazidi kushangaa miaka hii kwanini kila mbinu yao inakuwa exposed!

Mwisho wa siku watapiga magoti na kukiri kwa ndimi zao hakuna anayezidi asili ya uumbaji!

Kama Jua lina tawala mchana na mwezi usiku kama wana vuta oxygen ya Mungu ya bure na wanakula mazao yaliyonyeshewa na mvua inayotoka angani basi wa elewe this time hakuna atakaye peleka pua yake Ikulu kama ni fisadi!

The best is yet to come! Every now and then greater miracle than the previous: kama Jesus alivyofanya alianza na kugeuza maji kuwa wine (great miracle) wakasema labda aliweka chemicals; Next time akatuliza mawimbi ya bahari (greater miracle) wakasema labda ni coincidence mwisho akaamua kutembea juu ya maji kama vile nchi kavu (greatest miracle)...yaani hapo akawa amekamilisha changes kuanzia composition (chemistry) gravity (movements) na mwisho (physical) form ndipo wakaamua kumuua napo akatokezea katika utukufu mkuu zaidi ya ule wa kwanza! Na tangu hapo hakuna wakumgusa tena He is more than a Conqueror....Akatuambia na sisi mm nakwenda zangu sasa nyie hakuna la kuwatisha!

M4C is more than a conqueror un-touchable
!
Mkuu ubarikiwe kwa hili. sikioni kitufe cha like ila ww jua kuwa nimelike post yako.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kunamitanzania mingine imerogwa na ccm, jana nimesafiri safari ndefu Zenji hadi Kahama,huku kunamijitu inasema chadema ndo wamemuua muandishi

mtaji wa ccm ni mijitu mijinga, na tanzania kuna mijinga mingi tu, unakuta jitu linasema ninaipenda ccm kwa sababu ndo imenilea mpaka hapa nilipo.
 
Mkuu, Aweda ahsante sana kwa uzi huu. Tunazidi kupigia mistari yale tuliohisi tokea mwanzo. Mungu awe nasi daima, awe na M4C ili mikakati ya shetani na nguvu zake zishindwe. Na hatimaye watanzania tufunguliwe.
 
Mkuu, Aweda ahsante sana kwa uzi huu. Tunazidi kupigia mistari yale tuliohisi tokea mwanzo. Mungu awe nasi daima, awe na M4C ili mikakati ya shetani na nguvu zake zishindwe. Na hatimaye watanzania tufunguliwe.

Nami nakujibu AMEN
 
Back
Top Bottom