Mtindo wa kutunisha na kuacha sehemu ya MATITI wazi!

duh, bibi lesbian au??dunia kwishney!!!!!
Kwa wale wadada wanaopenda kuacha sehemu ya matiti wazi baada ya kuyatunisha!

leo ndani ya daladala moja ruti ya Kariakoo-Mwenge kupitia Sinza, napanda hili gari maeneo ya shekilango pale,
mara anaingia mdada anakaa siti usawa wa mlango,ile siti ni ya watu wawili anaogopa kusogea ukutani kwa sababu anazojua yeye,
mara anaingia mbibi mtu mzima yuko mlangoni anamwambia sogea tukae, binti anatoa miguu pembeni kama dalili ya kumpisha bibi apite akalie siti ya ukutani, cha ajabu bibi badala ya kupita anaanza kupapasa matiti ya huyu binti huku akisema "unafanya show ya matiti" actually yule binti anahamaki na kukasirika sana!

swali je kutunisha matiti na kuacha sehemu ya juu wazi ni makosa?
tukio kama hili linawezakuchukuliwa kama udhalilishaji?
au huyu bibi alikuwa na mambo yake?
 
Sasa wewe umejuaje manyonyo yakibanwa yanaumia? Hebu acha watu wafanye wanachojiskia. Mbona wewe huvai msuli ama suruali bwanga yenye turnups kama babu yako? Boobs oyeeeeee! Chezeiya, mpaka bibi katamani kushika manake ngozi ya manyonyo kama imelogwa jinsi inavyovutia!
Akina dada, hiki kivutio cha kununua bra zenye sponji ya kuinulia matiti kwanza unaukosesha raha mwili kwa kuufinyafinya na madudu eti matiti yaonekane yamesimama wakati utakapokutana na anayenaswa katika mtego huo anashkia kitu ni tepetepe imejaa hadi tumboni, mambo haya si mazuri na si malezi mema. Mbona bibi zetu hawakuwa na kawaida hiyo na utaona hawakusumbuliwa na hizi homa za saratani ya maziwa?

Kama alivyosema mdau hata wazungu wanaonunua bra za sponji kuinulia matiti ni walewale kama hawa tunaoshuhudia, kwani waliostaarabika wanapenda nguo zinazoenda na mwili ulivyokaa, hata kama hali inaelekea chini zaidi zipo bra zinazohimili vishindo hivyo.

Kuinua kidogo si mbaya, lakini wengi utaona kila dalili za kupitiliza hadi nyonyo zinataka kugusa videvu vyao, huku ni kuubana mno mwili wao na kwa vyo vyote wanaumia kama ilivyokuwa inaumiza ile dawa ya nywele wakati ule (kalikiti).
 
Kwa wale wadada wanaopenda kuacha sehemu ya matiti wazi baada ya kuyatunisha!

leo ndani ya daladala moja ruti ya Kariakoo-Mwenge kupitia Sinza, napanda hili gari maeneo ya shekilango pale,
mara anaingia mdada anakaa siti usawa wa mlango,ile siti ni ya watu wawili anaogopa kusogea ukutani kwa sababu anazojua yeye,
mara anaingia mbibi mtu mzima yuko mlangoni anamwambia sogea tukae, binti anatoa miguu pembeni kama dalili ya kumpisha bibi apite akalie siti ya ukutani, cha ajabu bibi badala ya kupita anaanza kupapasa matiti ya huyu binti huku akisema "unafanya show ya matiti" actually yule binti anahamaki na kukasirika sana!

swali je kutunisha matiti na kuacha sehemu ya juu wazi ni makosa?
tukio kama hili linawezakuchukuliwa kama udhalilishaji?
au huyu bibi alikuwa na mambo yake?

Hapa ndo huwa na confirm hawa viumbe ni wa aina yake......

Mtu akisema wanawake (akina dada below 25 yrs) hawana akili ataonekana katukana,kumbe yupo sawa tu.....

Kwa kuwatembelea watu uchi mimi nitakuhesabu huna akili tu....(ni kama mwendawazimu aliyeamua kutembea uchi)

Huwa inanikera mpaka basi....

The Magnificient...!!
 
Kuna siku pale mwenge machinga wanapouza nguo za wadada. Kuna mdada m1 alikuwa anatafuta top zilizokuwa zimemwagwa chini. Wakati ameinama HAMADIIII chakula ya mtoto itachomoka ilipokuwa na kuanza kuning'inia kama papai lililoiva mtini. Kwa kuwa alikuwa amevaa top ambayo iko luzi (isiyobana) mdada hakushtukia ile issue. Basi si kelele hizo watu weeeeweee watu full kunyoosheana vidole kuangalia chakula ya mtoto. Baada ya sekunde karibu arobaini ndo mmama m1 akaona lile tukio anamshtua mdada. AIBUUUUU!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi hupenda kusema si kila fashion uifanye, kwa kweli vingine tufanyavyo tunaharikiwa bila kujua hii style ya kuacha manyonyo wazi mi huwa inanikwaza sana.
 
wengine hadi unaona aibu titi limeachwa karibu lote wanaume wote mimacho hapo na binti mwenyewe hana hata shaka titi lenyewe limelegea jeusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom