Mtihani, zawadi ya krismasi..!

Mbu... Umejichongea mwenyewe rafiki.... Umemdefine kwa Mlimbwende.... that means akuvutia in one way or another and you do appreciate urembo wake.... (as a man); For ungemchukulia kawa ungesema nimepewa zawadi na mdada.....lol... Wala mie simo Lakini... Vipi ushapata Utatuzi?

Kongosho... Reading between the lines... Mbu is so ready kumpa kimwana zawadi, anaomba tu ushari ili atoe zawadi perfectooo...lol

...halafu dada'ngu wewe wajua kwenye kesi za usuluhishi nakutegemea?...hebu mswalie mtume bana,
soulmate hapendi.
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.

mnh,....kibongo bongo hiyo, tena miaka ileee ya azimio la Arusha....
unapewa zawadi inakubalika, miaka hii ya dot.com
zawadi "mtego!"....

mfano; mabasi ya mikoani, pokea peremende toka kwa stranger uone madhara yake.
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.

Kongosho kwani weye waitafsiri vipi zawadi?
mtu atayekupa zawadi huwajibiki kumzawadia pia, chochote?

hii sikukuu ya krismasi ina tafsiri moja kubwa, kuzaliwa kwa Jesus...lakini kwa wengi inatafsiri
zaidi ya hiyo mf; wachagga kurudi milimani kuhesabiwa,....

...huku ugenini maana yake kubadilishana zawadi!
 
basi ipo kazi,
kwa hiyo na mie zawadi zote nilizopokea inabidi nikalipe?
Mbona sina bajeti ya zawadi sasa hivi?

We potezea tu atakuchukuliz ivo ivo
hawa dot com wanaweza kukupasua
Kongosho kwani weye waitafsiri vipi zawadi?
mtu atayekupa zawadi huwajibiki kumzawadia pia, chochote?

hii sikukuu ya krismasi ina tafsiri moja kubwa, kuzaliwa kwa Jesus...lakini kwa wengi inatafsiri
zaidi ya hiyo mf; wachagga kurudi milimani kuhesabiwa,....

...huku ugenini maana yake kubadilishana zawadi!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...halafu dada'ngu wewe wajua kwenye kesi za usuluhishi nakutegemea?...hebu mswalie mtume bana,
soulmate hapendi.

Nikutingisha tu Kiberit mbu.... A message have to go to em' ladies that Mbu is fully booked for the whole year of 2012!:eyebrows:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nikutingisha tu Kiberit mbu.... A message have to go to em' ladies that Mbu is fully booked for the whole year of 2012!:eyebrows:

....LOL..you made our day!...kwa hisani ya soulmate, Thx!
 
Mine just arriving

article-0-0F0ABF9900000578-835_634x398.jpg

Naomba usiifungue hadi boxing day plzzz..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
LOL.. haki nimecheka kwa sauti.. Huyu wa kwako Mbu mie napendekeza mnunulie Marashi, wadada wengi huwa tunapenda hiyo zawadi.

hehehe
...ati ee?....nishauri manukato gani basi, nisijenunua kituko mie...nimebakiza masaa
machache ya kujibu mapigo ujue!
 
hahaha.... Eltoro... Asante Mkuu.
Hata hivo anakuja mtu on my behalf
huko PM.... Naomba mpe tu na umuamini.

Happy Festive Greetings...
Nitamptaia tu japo ingekuwa na thamani kama ningekupatie wewe mwenyewe, nataraji utatumia busara kupokea mwenyewe kama ulivyoikubali na kusema asante in advance, BTW nimekuaadd kwenye list of my sistas after Afrodenzi na Desi
 
Eltoro nivavopenda zawadi... Naja sasa hivi ila naomba uwe umeiandaa nisikae saana maana sidhani kama mimi kuna haja ya kuja enjoy the coke side of you....lol...
 
Back
Top Bottom