Mtera washtukia matusi ya mbunge wao

Ina Maana CCM wakimuweka William Malecela na yoyote wa Chadema Mtera Chadema kitashida

Nilimuona Malecela kwenye East Africa Bungeni hawezi kujenga Hoja hata kidogo

- Sema lugha inakupiga chenga maaana hatujenga hoja kiswahili ulichokizoea, otherwise Lusinde ni product ya Chadema tuoneeni huruma wananchi wengine na haya makelele ya kila siku, kule Arumeru mlikutana na your own medicine!

- Lusinde alianzia Chadema!

William.
 
livinstone lusinde ndiye mbunge wetu wa mtera ww huwezi tusemea wapiga kura wake tunamgguutaji na tutampa, hatukubaliani na kuigawa nchi kimajimbo au nchi ya meru jitengeni tu tuacheni na amani yetu ya iringa mtayajua sasa kwani lusinde naye allitokea upinzani aliyaona

amina?
 
- Sema lugha inakupiga chenga maaana hatujenga hoja kiswahili ulichokizoea, otherwise Lusinde ni product ya Chadema tuoneeni huruma wananchi wengine na haya makelele ya kila siku, kule Arumeru mlikutana na your own medicine!

- Lusinde alianzia Chadema!

William.

Umeanza ndogondogo kupiga chapu ya kipega vuvuzela akupishe? Utapambana na magwanda we utayaweza?
 
LUSINDE hakuanzia Chadema. Alianzia UDP. Malecela acha kupotosha hilo, baba yako ameshindwa mwenyewe uchaguzi kwa sababu ya mambo yake ya siri ambayo Lusinde anayajua.
 
LUSINDE hakuanzia Chadema. Alianzia UDP. Malecela acha kupotosha hilo, baba yako ameshindwa mwenyewe uchaguzi kwa sababu ya mambo yake ya siri ambayo Lusinde anayajua.

- Hakuna aliyeulizia baba yako, Lusinde ALIANZIA Chadema, tafuta historia!

William.
 
- Angalau unakubali kwamba Lusinde ni product yenu Chadema, mimi ni mbunge wangu na a good friend sana!

William.

Mkuu Willium,ningependa kukushauri, mara zote,uwe una stick katika mada.
Uwezo wako wa kujenga hoja umehojiwa ....wewe ulitakiwa kuonesha kuwa jamaa anakusingizia!
Badala yake unaingiza mambo ya CHADEMA!
Kwa nini?
 
William J. Malecela siku hizi kiwango chake cha kujadili mada kimepungua katika tathmini ya kulenga maudhui yaliyokusudiwa, utaona kila aongeleacho anayumbia Chadema, inaelekea wabunge wa Chadema ndio waliomwangusha ubunge East Africa. Mbona wa CCM ni wengi zaidi ya wa Chadema? Just be fair, determination is the most important for you political life stile.
 
Niseme nisiseme??????
kudadadeki, yakija nitatukana na wakileta hoja nitajibu, kudadadeki, mimi ndio kibajaji bana,nina ridhaa ya watu wa mtera,...

kweli watu wa mtera ndio walikutuma utusi umma na wakubwa zako>???????
ama kweli huyu jamaa ni kilaza asiye na mfano kama dingi yao J.K tu
 
Back
Top Bottom