Mtei, Jussa watu hatari zaidi kupata kutokea Tanzania

Hivi kwa nini mnaficha ukweli chini ya mwamvuli wa Udini?? Sioni tofauti ya Muislamu wa Zanzibar na wa Bara!! Nachokiona ni waislamu 19 na wakristo 11... This is Maths na sio religious politics au propaganda...

Mzee Mtei has a point!!

Na wale makatibu wawili wa sekretariati ni dini gani? Suala la udini Tz sasa hivi liko wazi wazi...Huko NSSF nako balaa...ooooh Gosh, nisitoke nje ya mada mie
 
chadema bwana! Kwa vile kaongea mzee mtei sio kesi kubwa, angekuwa kaongea mzee wa ccm hapa jf pangelipuka. Jaribuni kuwa realistic kama zitto.
 
Hivi kwa nini mnaficha ukweli chini ya mwamvuli wa Udini?? Sioni tofauti ya Muislamu wa Zanzibar na wa Bara!! Nachokiona ni waislamu 19 na wakristo 11... This is Maths na sio religious politics au propaganda...

Mzee Mtei has a point!!

na apeleke maaskofu wa kichaga, hahahhahhhahahahhhahhaa
 
Akiuzungumzia uteuzi wa wajumbe wa tume ya katiba bwana mtei bila haya alitoa kauli ya kilevi kwamba eti tume hiyo imejaa waislam!sina uhakika kama mzee huyu alikua na uhakika na anachokisema ama alikua anataka kusema labda tume hii ina watu wwengi wenye majina ya kiislam,all timing ya kuitoa kauli hii ilikua ni mbovu hasa ikizingatiwa kwamba ndio kwanza tume imeteuliwa ikiwa hata haijakutana huyu mzee anaamua kuivuruga kwa makusudi ili siku ziende tukifike kwenye uchaguzi bila katika mpya kama jk vile anataka iwe.

mtei anasema ukweli............50% ya tume ni wazanzibara ambao wote ni waislamu...........ukiwaopngezea na wale wa bara ujue ya kuwa wakristu hatuna bao......mahakama za kadhi lazima zipite............wanaomkashifu Mtei wao ndiyo siyo wa kweli hata chembe.....
 
Mtei udini wake ni wa siku nyiingi mno
alimzuia Bob Makani kugombea urais kwa kupitia CHADEMA,,,,
na kumzuia Zitto kugombea uenyekiti main reason ni Waislam....
 
Ujenge tabia ya kusoma taarifa mbali mbali na kutembelea mitandao mingine.
Prof. Lipumba amekemea hili jambo live bila chenga tena ZANZIBAR na wote hao wakina jussa walikuwa wametoa macho kumtanzama, na akasisitiza watu kama hao ni watu hatari kwa taifa na hawafai
Nenda www.mzalendo.net

Tume ya Katiba,

..sasa mbona Jussa karudia tena ubaguzi wake ndani ya baraza la wawakilishi alipopendekeza wa-Tanganyika wasiajiriwe ktk sekta ya utalii Zanzibar??

..binafsi sikuona uharaka kwa watu kama Zitto kumkemea Jussa ambaye kumbe tayari alishaonywa na mwenyekiti wake.

..Zitto amekuwa na haraka kumkemea Mzee Mtei, lakini mzito kumkemea Ismail Jussa.
 
kweli kabisa. Na ukizingatia wakristo sisi ndio wengi ila rais, makamu, jaji mkuu na mkuu wa usalama waislamu. Yale yale ya Iraq, suni wachache wanatawala nchi imejaa washia kisa sadam ni suni[/QUOTE

kwa maa ya kwanza tangu uhuru huyu ndo jaji mkuu mwislamu wa kwanza.na hili kuwa na rais,makamu,na usalama waislamu leo imekuwa issue kubwa vp awamu zilizopita ilikuwaje.
 
Suala la udini ni suala ambalo muasisi wa taifa hili julius nyerere alilipigia sana kelele kipindi cha uhai wake.Leo katika hali ya kushangaza watu wawili kutoka vyama vikuu viwili vya upinzani tanzania wamenukuliwa wakitoa kauli zenye chemebe chembe ya dalili za kutaka kuigwaa nchi na wananchi kwa kutumia kigezo cha dini,watu hawa awawili ambao chonde chonde naomba watazania tuwapuuze ni muasisi mwenye sauti kubwa ndani ya chadema bwana Mtei na kiongozi mwanadamizi wa cuf ISMAIL JUSSA.

Akiuzungumzia uteuzi wa wajumbe wa tume ya katiba bwana mtei bila haya alitoa kauli ya kilevi kwamba eti tume hiyo imejaa waislam!sina uhakika kama mzee huyu alikua na uhakika na anachokisema ama alikua anataka kusema labda tume hii ina watu wwengi wenye majina ya kiislam,all timing ya kuitoa kauli hii ilikua ni mbovu hasa ikizingatiwa kwamba ndio kwanza tume imeteuliwa ikiwa hata haijakutana huyu mzee anaamua kuivuruga kwa makusudi ili siku ziende tukifike kwenye uchaguzi bila katika mpya kama jk vile anataka iwe.

YA Jussa sina haja ya kuyarudiayote kwa kuuwa kila mtu humu unajua matatizo ya jussa kwenye udini kali kuliko zote ni pale aliposema chama chake kimeshindwa uzini kutokana na jimbo hili kujawa na wakristo!

Hawa wawili ndio viongozi wetu wanaozitumia dini kufanikisha malengo yao,ndio mana nikaswema MTEI na JUSSA NI WATU HATARI SANA KWA TAIFA,NAPENDEKEZA RAIS KIKWETE AFANYE MAAMUZI MAGUMU KWA KUWAKAMATA NA KUWATIA NGUVUNI MARA MOJA ILI IWE FUNDISHI KWA WENGINE WENYE MAWAZO YA KIJINGA KAMA HAWA WAWILI.

Nawasilisha
mkuu.Mtei twaweza sema kuwa uzee unachukua nafasi yake lakini huyu Kijana Jusa anasikitish kweli kweli.
 
mtei kapuliza kipyenga cha udini Tanzania...yet some people are applauding him..what a shame!!!
 
una akili mgando, unadharau swala dini wewe? Unaishi dunia ya wapi? Unaona yaliyofanyika ni halali? Zanzibar haina wakristo? Acha unafiki wewe. Mwache Mtei, ana uhuru wa kutoa mawazo na maoni yake.

hUO UHURU WAKE WA OVYO AKAUFANYIE KWENYE VIKAO VYA FAMILIA YA MBOWE NA YA MTEI WAKATI WA KUTAMBIKA MWISHONI MWA MWAKA,LAKINI HATUTAKUBALI MTU ATUGAWE NA KUFANYA NCHI ISITAWALIWALIKE KWA UDINI WAKE WA KIHISTORIA
 
..at least cdm wametoa kauli ya chama kwamba hawakubaliani na mawazo ya edwin mtei.

..sasa cuf wanakubaliana na kauli za kibaguzi ambazo amekua akizitoa jussa time and again?

..halafu huyo zitto mbona hakukemea kauli za kibaguzi za rafiki yake ismael jussa?

..

kwanini zitto,mbona chadema kama chama hakijakemea kauli ya jussa?
 
mtei kapuliza kipyenga cha udini Tanzania...yet some people are applauding him..what a shame!!!
Aliyepuliza kipyenga kuamsha watu kuwa kuna 'UDINI' katika hiyo tume ndio amegeuziwa kibao cha 'UDINI'

Shame!!!!!!!
 
kweli kabisa. Na ukizingatia wakristo sisi ndio wengi ila rais, makamu, jaji mkuu na mkuu wa usalama waislamu. Yale yale ya Iraq, suni wachache wanatawala nchi imejaa washia kisa sadam ni suni

Hivi hii ya kusema wakristo ni wengi kuliko waislamu mnaipata kwenye census gani?... Au watu mkishaleweshwa mvinyo kwenye vigango huko mnakuja kuutapikia hapa JF.

Tuwe serious na data zetu tunapochangia humu.

A simple google search tu jitu linaona kazi kubwa!
 
Back
Top Bottom