Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!
Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,
Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?
3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?
4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?
5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?
Maswali ni mengi, karibuni🙏