Labda nikusaidie hivi, Memorundum of understanding sio Mkataba. Ukisha elewa tunachozungumzia rtudi tena..
1. Memorandum of understanding (MoU)
is a document describing a bilateral or multilateral agreement between parties. It expresses a convergence of will between the parties, indicating an intended common line of action. It is often used in cases where parties either do not imply a legal commitment or in situations where the parties cannot create a legally enforceable agreement. It is a more formal alternative to a gentlemen's agreement..
2. Contract
A contract is an agreement entered into voluntarily by two parties or more with the intention of creating a legal obligation..
Ninatofautiana nawe kuhusu Mtei. Mzee Mtei ni Mbunge wa Zamani, Gavana wa Benki kuu ya Tanzania na Waziri wa fedha. Kwa katiba iliyokuwepo wakati wake, yeye alikuwa ni mmoja wa 'watarajiwa wa urais' yangetokea yasiyotarajiwa.
Nina maana sifa zake za elimu, uzoefu wake, pamoja na kuwa waziri mwandamizi (senior minister)
Mzee Mtei ni mwanasiasa na mwanzilishi wa Chadema. Sifa za mzee wetu zinamweka mahali tofauti sana na rai kama wewe na mimi. Edwin Mtei yenyewe ni habari kabla ya habari.
Kauli zake zinapewa uzito sana ndiyo maana unaona badala ya kujadili katiba watu wanabadilishana kashfa utadhani tupo katika makanisa na misikiti, utadhani tunaandika biblia na misahafu.
Hali isingekuwa hivyo kama kauli hiyo ningeitoa kapuku mimi, lakini ni upele na sasa umewapata wenye kucha
Ni kutokana na influency yake kitaifa kauli alizozitoa zinapaswa zilinganiwe na yeye mwenyewe. Ima azitolee ufafanunuzi au kama hana aombe radhi. No more no less
Kaongea na Jambo leo tu au ndo habari na mwandishi wetu
Hayo maneno ya mtei angekuwa kaongea sheikh kuhusu wakristo ungesikia hawa wanapenda udini wasubiri wakale ubwabwa kwa vile ni baba mkwe yanakuwa ni mawazo yake binafsi sasa ndio mtajua udini upo au haupo chafya ikija huwezi izuia
Mkuu wangu nitakukumbusha kitu kimoja muhimu sana ufahamu. Viongozi wa Palestine waliwahi kusema kwamba wataizamisha Israel ndani ya bahari wakiwa na maana kuuondoa utawala wa kukoloniwa madarakani.. Huu ni msemo ulotumiwa na kina Che, Castro, Mao Tse Tung na hata Mandela South Afrika enzi za makaburu lakini nini kimewakuta Wapalestina?
Dunia nzima wanaamini kwamba lengo la nchi za kiarabu ni kuipiga mabomu Israel hadi izamishwe baharini.. Maneno haya yamewaponza Wapalestina badala ya kuwanufaisha kama waliotangulia..Sasa jiulize kama Wapestine wana nia hiyo, wakiisha izamisha Israel baharini wao wataishi wapi?..haiingi akilini lakini ndio walishasema maana siku hizi mpigania Uhuru huitwa gaidi..
Kwa hiyo kauli yoyote ile inaweza kuwa na ukweli wala sii uongo, lakini inategemea na itakavyo tafsirika na muhimu sana kutumia busara ktk maswala mazito kama haya maana inaweza kabisa kula kwako. Mzee Mtei alikosea na tumkosoe kama alivyokosolewa Malecela ktk swala la Muungano japokuwa alisema kweli. Ifahamike tu kwamba kuwepo kwa serikali tatu kama tunavyodai baadhi yetu kuna athari zake.
Kuwa na serikali tatu kwa jinsi sisi tulivyo na ktk mazingira yetu ni hatua moja karibu kuvunja muungano kuliko kuuimarisha muungano amini maneno yangu. Na maadam binafsi yangu sintojali mojawapo nayapokea kama yalivyo lakini najua fika serikali tatu itakuwa mwanzo wa kuvunja muungano. Kama leo tupo radhi kumkosoa rais wetu JK, tupo radhi kumkosoa mwenyekiti Mbowe, katibu mkuu Dr.Slaa na naibu katibu mkuu wa chama Zitto tunashindwa vipi kumkosoa Mzee Mtei..
iyo katiba mpya kuliko kushuudia mahakama ya kadhi na nchi inaingizwa oic..bora tumwagane damu kupigania iman zetu ili tuone Jesus na mwamedi nani kamanda.
Simu ya lulu iliyomuua STEVEN KANUMBA usiku wa manane alikuwa anachati na Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe.
Kanumba alipata mshtuko na kupata hasira baada ya kusikia LULU akisema Mh. Zitto I Love you than any body TAKE A KISSY MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Kama huamini Zitto ametafuta mawakili wa kumtetea LULU ili akitoka amuoe. Pia kafanya mpango wa kufoji cheti cha kuzaliwa LULU aonekane ana miaka 17 wakati mwenyewe siku ya Birthday yake alionesha cheti cha miaka 18. Je ZITTO ana maaana gani kudanganya umma umri wa lulu. Pia LULU akihojiwa na SALAMA Kwenye EAT TV alikiri KUTIMIZA MIAKA 18
Simu ya lulu iliyomuua STEVEN KANUMBA usiku wa manane alikuwa anachati na Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe.
Kanumba alipata mshtuko na kupata hasira baada ya kusikia LULU akisema Mh. Zitto I Love you than any body TAKE A KISSY MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Ma2mbo,
I love your consistency. But this time, please call a spade a spade.
Kama nchi inaingia OIC kupitia referundum tatizo liko wapi?mahakama ya kadhi inawakera nini? Mbona tuna uhusiano wa kidiplomasia na vatican? Mimi ni mkristu,ila natanguliza utaifa wangu mbele ya itikadi za kidini na kikabila.Kwa kweli dini ikipokelewa vibaya inaweza kugeuka kuwa uchawi mbaya kuliko ushirikina wowote ule
Kwa vijana,tuache kuunga mkono watu hata kama wamekosea.picha ninayopata hapa ni kwamba tunaandaa taifa la ovyo
wewe kama hauoni tatizo kwa nchi kuingia oic na kuwa nchi ya kiislamu,mimi siwezi kukubali hii kitu niishudie kwa macho yangu ikibidi ata kumwaga damu yangu kuzuia hii movement ya kuibadili nchi yetu kuwa ya kiislamu...kama jk ameteua masheikh wenzake kutimiza azma inayoubiriwa kila siku na redio iman basi ajue amechemsha..tutapambana mpaka cell ya mwisho..
Ben achana na Zitto uyo,hana lengo zuri tizama ata watu wanaomuunga mkono,alafu ufikirie mara mbilimbili..