Mtego wa mfanyakazi wa kike kwa mfanyakazi mwenzie mwanamme safarini

Siyo nge anamaana mdada angeenda kuwataarifu wahudumu wa reception kuwa chumbani kwake kuna nge na wala sii kwa mkaka eeh

na hata nge angeenda reception bana..kwa nini anasumbua watu wamungu wamepumzika baada ya kuchoshwa na semina elekezi mchana kutwa
 
asante dia kwa hiyo breakfast,mmmmh mbona leo mapema sana!jana usiku ulipiga desh nini?nimependa hapo kwenye red: moyo wangu umefarijika na nadhani hata chai leo sio lazima tena, nimeshiba kwa hiyo kauli yako tu!!!!

ok
so ushapata heavy breakfast haina haja ya lunch ennh?
jana nilipiga desh jaman mwenzako asi unajua tena..katikati ya mwez huu na mimi ndo nmekaukiwa kauuuuuuuuu..so desh kwa kswenda mbele tu..nimemla uyu samak ndo bas tena mpaka keshoooo
 
usijali, ukiishiwa sema!si unajua kukopeshana napo kupo!Ntakukopesha dia, Ila kwenye malipo lazima tutengeneze terms of reference!!!!!
 
Walikodi vyumba viwili na Guest house zote zilikuwa zimejaa, sasa aende reception kufanya nini? lakini inawezekana jamaa anajutia kukosa chance,,,,,,,:israel:
 
Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume alinisimulia kisa kimoja kilichomkuta aliposafiri kikazi na dada mmoja ambaye wanafanya naye kazi pamoja na wanaheshimiana sana kama ifuatavyo. Walikodi vyumba viwili na Guest house zote zilikuwa zimejaa. Ilipofika saa 4 usiku yule dada alipiga hodi kwenye chumba cha yule kaka akidai kuwa chumbani kwake kuna mdudu nge na anaogopa kulala kwenye chumba hicho. Yule kaka alijitahidi kumulika kwa tochi uvunguni mwa kitanda na kila mahali ili amuue yule nge lakini hakuonekana. Baada ya hapo yule kaka alimshauri yule dada ahamie chumbani kwake kwa kuwa kitanda kilikuwa kimoja walikubaliana kulala mzungu wa nne yaani kila mmoja akilala kichwa kimoja kywenye mchago na kingine kwenya tendegu ili kukwepa kupata kishawishi. Yule kaka alipata shida sana lakini alimudu mtihani kwa kujizuia na tamaa ya mwili, alifikiri mambo mengi kwamba yawezekana ni mtego wa yule dada kutaka kumpima au pengine huenda alikuwana nia mbaya kama angeshindwa kuvumilia amwingize kwenye kesi ya kubaka. Wana JF naomba mchango wenu Jee yule dada alikuwa na lengo gani kwa huyo kaka, kwani kama alikuwa anampenda au anamtaka si angemueleza kuliko kumtia majaribuni? Karibuni mwenye hoja atoe hoja yake kwani swala hili bado lina mtesa yule rafiki yangu.

Sasa huyo jamaa alitaka apewe nini , aagh! mijamaa mingine inauzi cjuisindano... kula kitu hamna jingine hapo bwanyenye wewe, kwani dadaake huyo bwana , hao waliogopana- refer topic BODY LANGUAGE
 
Huyo jamaa yako atajutia hiyo nafasi aliyopata mpaka kufa, nina uzoefu mmoja kuwa kadri mnavyoheshimiana na demu ndo hisia zake za kimapenzi kwako zinapokuwa kubwa. Kwa sababu anakuona kuwa ni mtu mstaarabu na unayeheshimu wengine, tatizo linakuja kwenye kukuambia sasa. kwa hivyo jamaa ajue kuwa demu alikuwa anamfikishia ujumbe kwa staili ile. Tena asishangae huyo demu akianza kumuonesha dharau baada ya hilo tukio, kwa sababu atahisi kuwa jamaa si mzima.. ndiyo zao hawa, akijilengesha we mchape ili kulinda heshima yako!
 
Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume alinisimulia kisa kimoja kilichomkuta aliposafiri kikazi na dada mmoja ambaye wanafanya naye kazi pamoja na wanaheshimiana sana kama ifuatavyo. Walikodi vyumba viwili na Guest house zote zilikuwa zimejaa. Ilipofika saa 4 usiku yule dada alipiga hodi kwenye chumba cha yule kaka akidai kuwa chumbani kwake kuna mdudu nge na anaogopa kulala kwenye chumba hicho. Yule kaka alijitahidi kumulika kwa tochi uvunguni mwa kitanda na kila mahali ili amuue yule nge lakini hakuonekana. Baada ya hapo yule kaka alimshauri yule dada ahamie chumbani kwake kwa kuwa kitanda kilikuwa kimoja walikubaliana kulala mzungu wa nne yaani kila mmoja akilala kichwa kimoja kywenye mchago na kingine kwenya tendegu ili kukwepa kupata kishawishi. Yule kaka alipata shida sana lakini alimudu mtihani kwa kujizuia na tamaa ya mwili, alifikiri mambo mengi kwamba yawezekana ni mtego wa yule dada kutaka kumpima au pengine huenda alikuwana nia mbaya kama angeshindwa kuvumilia amwingize kwenye kesi ya kubaka. Wana JF naomba mchango wenu Jee yule dada alikuwa na lengo gani kwa huyo kaka, kwani kama alikuwa anampenda au anamtaka si angemueleza kuliko kumtia majaribuni? Karibuni mwenye hoja atoe hoja yake kwani swala hili bado lina mtesa yule rafiki yangu.

Ilikuwaje msibadilishane vyumba, wewe ulale kwenye chumba mfanyakazi mwenzio alichokiogopa?

Nataka sitaki.
 
...aaaah babalao hayo ya kama alikuwa anamtaka yametokea wapi tena?
si alishajielezea anaogopa nge?
Huyo kaka angemuachia chumba yeye akalale kwa 'nge!'
au naye aliogopa?
 
Alijua nge maana yake nini na ndio maana hakwenda akabaki
 
Kweli kijana ulikuwa kama Yusuph wale ndugu zetu wakristo wanamjua.Kama hiyo story hujai edit
 
Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume alinisimulia kisa kimoja kilichomkuta aliposafiri kikazi na dada mmoja ambaye wanafanya naye kazi pamoja na wanaheshimiana sana kama ifuatavyo. Walikodi vyumba viwili na Guest house zote zilikuwa zimejaa. Ilipofika saa 4 usiku yule dada alipiga hodi kwenye chumba cha yule kaka akidai kuwa chumbani kwake kuna mdudu nge na anaogopa kulala kwenye chumba hicho. Yule kaka alijitahidi kumulika kwa tochi uvunguni mwa kitanda na kila mahali ili amuue yule nge lakini hakuonekana. Baada ya hapo yule kaka alimshauri yule dada ahamie chumbani kwake kwa kuwa kitanda kilikuwa kimoja walikubaliana kulala mzungu wa nne yaani kila mmoja akilala kichwa kimoja kywenye mchago na kingine kwenya tendegu ili kukwepa kupata kishawishi. Yule kaka alipata shida sana lakini alimudu mtihani kwa kujizuia na tamaa ya mwili, alifikiri mambo mengi kwamba yawezekana ni mtego wa yule dada kutaka kumpima au pengine huenda alikuwana nia mbaya kama angeshindwa kuvumilia amwingize kwenye kesi ya kubaka. Wana JF naomba mchango wenu Jee yule dada alikuwa na lengo gani kwa huyo kaka, kwani kama alikuwa anampenda au anamtaka si angemueleza kuliko kumtia majaribuni? Karibuni mwenye hoja atoe hoja yake kwani swala hili bado lina mtesa yule rafiki yangu.

Mwambie huyo rafiki yako ni mdwanzi, hivi alitaka aambiwe vipi... hivi huyo nae anaweza jiita mwanaume? Kuna mambo mengine unaambiwa kikubwa, nawe unamaliza, huyo dada atamdharau sana, na kwasasa wala asijaribu tena kumfuatilia, labda dada mwenyewe amwanze manake anaweza kumdhalilisha..
Ameniudhi sana, hii ndio mijitu inatutia aibu wanaume wa shoka haswa wa Kiafrika... i mean real African Dongos!!:A S angry:
 
Kama jamaa hakumshughulikia huyo dada, amefanya jambo la maana sana kwa sababu ameepuka mambo mengi - magonjwa, kujidhalilisha, dhambi. Huyo dada kama ana hamu muda mwingi aende Ohio mida ya usiku. Wanaume wote wa shoka ninao wafahamu hawakuacha kitu na tayari wako chini ya ardhi!!!!!
 
Asante jambo hili halikuendelea maisha yaliendelea kama kawaida na waliendelea kuheshimiana
 
kwan we wadhan nani anaweza kuwa mtumwa wa shetan kat ya dada na kaka?
karibu chai babu leo samak wa kubanika +ndimu+pilipili na chaii swafi yenye tea masala ...karibu
nimekumiss jaman...nilipika mlenda juz wacha nkumbumbuke nkasema angejua nafanya nin apa angenichokoza...!!!

1.jpg

La Aziz almanusra leo tutoke ngoma droo.
 
sasa huo ndio uchoyo sasa kwani huyo dada ameolewa. hujasema kama wewe umeoa au huyo dada ni mke wa mtu, kama wote hamko ndani ya ndoa mhhhhhhhhhhhhhhhh, mwanzo mzuri inawezekana mngeenda next level
 
hao wote walitegana na wote wakashinda vishawishi kwani kama chumba kina nge na huyo mkaka aliona nge hayupo angeenda kulala yeye kule kwenye nge na kumwachia binti chumba chake au la wangetoa taarifa kwa uongozi wa hotel au angesgusha net nge asingeingia kwenye net

Hapo umepatia Mkuu, kuna uwezekano wote wawili walikuwa na mawazo yanayohitaji msasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom