MTAZAMO: Ni kwanini Dunia ya sasa, imeamua kuchagua viongozi wenye misimamo mikali

So far so good. Kila nchi inatakiwa ku mature katika ishu ya kujitegemea
 
...hivi ndugu anategemea wezi watakuelewa kweli...mie nakushauri usichukue ushauri wangu wa kufuta huu ukweli.
 
Mafashisti kutawala nchi kubwa na ndogo (tz) , ni dalili za kuibuka vita ya tatu ya dunia.
 
Ulipoingiza jina la Makufuli tu thread yako imepoteza maana, Bongo hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi.

Uchaguzi wa Marekani ungesimamiwa na Lubuva na Jecha wake basi Clinton angetangazwa mshindi.
Chuki yako kwa Rais Magufuli, ndyo inayokusumbua
 
Back
Top Bottom