Mkuu labda kwa kuwa huna taarifa kamili,NECTA.ilishaingiliwa siku nyingi,hata matokea haya mabovu yaliingiliwa na wana siasa baada yakutoka mwanzo na kabla hayajatangazwa,yalihaliliwa tena NECTA,iliagizwa baada ya kuonekana shule za serikali zimeanguaka zaidi ya shule za private,wakaambiwa wabalance kwa kupunguza ufaulu kwa shule za private,ili serikali isiaibike kwa shule zake kufail zaidi,kwa matokeo haya siyo halisi na hasa kwa shule za private,zimeonewa sana kwa shinikizo la kisiasa ili chama CCMisilaumiwe na wapiga kula kwa shule zake kufail zaidi.
kuthibitisha ilo Kawambwa wakati anajitete akasema MATOKEO NI MABAYA SI KWA SHULE ZA SERIKALI TU ATA NA ZA PRITATE WAMEFELI.