TANESCO itafutiwe muwekezaji kama Bandari, wazawa wameshindwa kuiendesha

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,037
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME.

Hoja yangu ni UMEME
Kutokana na Sintafahau iliyoikumba NCHI yetu juu ya Suala zima la Upatikanaji wa Umeme na Matamko ya kukinzana ya Viongozi wetu.

Binafsi naamini Kama Taifa Suala la Umeme ni JIWE la Pembeni lililowashinda Waashi.

Viongozi wetu kila mmoja anatoa Tamko Lake yupo anayesema tatizo litaisha baada ya miezi 6 Waziri wa Nishati nae Ana Tamko lake Naibu waziri wa nishati nae Ana kauli yake Mkurugenzi wa Tanesco nae Ana yake Bunge nalo lina Tamko Lake ili mradi Suala la Tanesco limekuwa la MATAMKO.

USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI

Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.

Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.
 
Bandari mwekezaji Yuko wapi?

Mbona halipo linaloendelea?

Suluhu ni kuitoa Serikali ya CCM madarakani basi!!
 
Hoja yangu ni UMEME
Binafsi naamini Kama Taifa Suala la Umeme ni JIWE la Pembeni lililowashinda Waashi.
USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI
Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.
Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.
Mkuu Mzee wa Twitter, naunga mkono hoja, ushauri kama huu niliutoa hapa Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? kisha nikautoa hapa
Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa? na sikuishia if bali nilikwenda gazetini
Screen Shot 2023-06-11 at 11.26.12 AM (1).png

P
 
Hongera sana kwa ushauri Tatizo la Nchi hii kuna watu wanajiona wao ndio wenye Akili kuliko wengine na kwamba Nchi hii ni Yao wanasahau kuwa NCHI HII NI YETU SOTE
 
Kweli kabisa kaka, kama ilivyofanya Kwa SHIRIKA LA SIMU PIA....KWENYE UMEME SISI KAMA TAIFA TUMELI.
 
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME.

Hoja yangu ni UMEME
Kutokana na Sintafahau iliyoikumba NCHI yetu juu ya Suala zima la Upatikanaji wa Umeme na Matamko ya kukinzana ya Viongozi wetu.

Binafsi naamini Kama Taifa Suala la Umeme ni JIWE la Pembeni lililowashinda Waashi.

Viongozi wetu kila mmoja anatoa Tamko Lake yupo anayesema tatizo litaisha baada ya miezi 6 Waziri wa Nishati nae Ana Tamko lake Naibu waziri wa nishati nae Ana kauli yake Mkurugenzi wa Tanesco nae Ana yake Bunge nalo lina Tamko Lake ili mradi Suala la Tanesco limekuwa la MATAMKO.

USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI

Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.

Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.
Kwa hiyo wasomi wote ma engineer hakuna mwenye AKILI nchi nzima.
 
USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI

Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.

Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.
Hao mnaoita wawekezaji waje, wazalishe na kuuza umeme wao kwa kushindana na tanesco, labda watumiaji umeme tutapata unafuu.

Sio taifa likope matrilioni halafu manufaa wapewe wajanja wachache sie tukiishia kulipa madeni. Huo ni ukwapuaji, si uwekezaji.
 
Kuna maswali unajiuliza hivi hili shirika kwa nn linashindws kujiendesha wakati wananchi wanalipa bill vizuri tu bado wanatuuzia na nguzo na mita wakati ww ulitakiwa uletewe umeme ulipie huduma sio vifaaa yote hayo tunalipa ila bado shirika linayumba.
Unakuta kuna wasomi na phd yao wamjeaa huko ila ni mzigo wa mavi tu kwa shirika Pumbavu kabisa
 
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME.

Hoja yangu ni UMEME
Kutokana na Sintafahau iliyoikumba NCHI yetu juu ya Suala zima la Upatikanaji wa Umeme na Matamko ya kukinzana ya Viongozi wetu.

Binafsi naamini Kama Taifa Suala la Umeme ni JIWE la Pembeni lililowashinda Waashi.

Viongozi wetu kila mmoja anatoa Tamko Lake yupo anayesema tatizo litaisha baada ya miezi 6 Waziri wa Nishati nae Ana Tamko lake Naibu waziri wa nishati nae Ana kauli yake Mkurugenzi wa Tanesco nae Ana yake Bunge nalo lina Tamko Lake ili mradi Suala la Tanesco limekuwa la MATAMKO.

USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI

Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.

Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.
Labda itafutiwe washindani hasa kwenye usambaji Ili Tanesco wasalie na production pekee
 
Back
Top Bottom