Mtaweza FUMBO?

Ni binadamu,utotoni anatambaa kwa mikono na miguu,utu uzimani anatembea kwa miguu miwili na uzeeni anaongezea mkongoja

Mkuu umepatia. Mi fumbo hili lilinipiga dobo sikuambulia kitu hadi nilipopewa jibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom