MTANZANIA: CCM mnahangaika na Lowassa, CHADEMA wanachanja mbunga!

Hilo gazeti nimelisoma jana, nilikuwa na mpango wa kuiweka hii makala humu jamvini bt kwa bahati nzuri mwenzangu kaiweka, huyu jamaa aliyeandika hii makala ni adui wa nne kwa taifa hili, yuko tayari kuwapotosha watanzania kwa kuhudumia tumbo lake.Kuwatetea watuhumia wa ufisadi kwa hoja dhaifu kama hizo ni kujidhalilisha, na kwa hakika ninashaka na weledi wake cause mwandishi ambae ni proffesionally trained hawezi kuongea utumbo kama huo.Nashukuru kwa kuifagilia CHADEMA lakini kutueleza eti EL, RA na AC ni watu safi ni kututukana watanzani,hao jamaa hawasafishiki and if he think kwamba wanasafishika watuwekee EL kwenye uchaguzi wa 2015 tuwape jibu sahihi.TO HELL CCM.
 
Back
Top Bottom