Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,560
- 1,444
Kwanza hizo private wananunua matokeo,nimesoma hizo shule tangu standard 1-4 ila saivi ni bodaWengi wenu mnasomeaha watoto huko EM ili eti wajue kingereza au wafaulu form 4 na 6...hakuna lingine.Cha kujiuliza mtoto anafeli vipi kipindi hiki cha mama kizimkazi..mitihani inavujishwa hadi watsapp na telegram.
Sisi tulisoma Gov't schools na tulijua kuongea ung'eng'e vizuri tu na tulifaulu form 4,6 na kuingia huko vyuoni. Cha ajabu nyie wa private mnakuja bado kugombania kuomba loans HESLB ambazo ilistahili wale waliotoka Kayumba ndio wapate