LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,268
- 27,626
- Thread starter
- #61
Kuna watoto walio na dependency mindset kama walio soma EMs. Huko EMs kila kitu wanatafuniwa . Kayumba mtoto anajifunza kuwa fighter kuanzia darasa la kwanza . Anaanza kujifunza uhalisia wa maisha kuanzia darasa la kwanza. Hakuna mtu anae mpetipeti tofauti na huko EMs walimu wana show fake love to your childrenHauko sahihi elimu ya Tanzania sio job creater ila ni job seekers.....tena ya serikali ndo worse ata ile confidence hawana akili za mtoto alie malizia kwenye shule za sarikali zina ile dependence sydrome hawawezi maisha ya kujitegemea bila msaada wa serikale.