LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,204
- 27,327
- Thread starter
- #41
Fumadilu KalimanzilaNilistaajabu siku moja nilihudhuria mahafali ya hizi EM schools nikaambiwa kuwa kwa mwaka wazazi wanalipa zaidi ya 4M kwa ajili ya ada mbali na michango mbalimbali inapita hadi 5M.Hii ni ada ya mwanafunzi wa sekondari tu.
Shule ina zaidi ya wanafunzi 2000 ...nikajisemea kimoyomoyo..dah laiti kama wangekuwa wanajua kuwa wanapigwa pesa kizembe wasingeleta watoto ktk hii shule. Watoto wakihitimu form 6 wanakwenda kujazana katika vyuo vya kata badala ya kwenda kusoma nje ya nchi.