Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Wadau habarini rejea kichwa cha habari hapo juu naitaji kuanza business ila sina idea business gani nianze mtaji nina 1m tsh naombeni mnishauri
 
Wadau habari zenu naitaji kufanya business ila sina wazo business gani nianze capital au mtaji ni one million naomba ushauri jamani ni biashara gani naweza kuaza kwa hiyo capital? Msinikatishe tamaa naombeni sana. ..
Kwa upendo tu:- chukuwa somo na siri ya biashara hii bure!!
4 P

P
roducts = beautyCare (hair straighters,hair blowers,styler,treat,nk), Urembo, Skin care,Vitamins,etc !!
Place = Home,ofisini, delivery !!
Prices = bei zako ziwe za kawaida ..miezi mtatu ya kwanza faida iwe ndogo, jenga jina lako vizuri!!
Promotion = jitangaze na sifia bidhaa zako kwa kujaribisha.!!

kila la kher na mafanikio.
 
Mkuu inakua rahisi sana kukushauri endapo tungejua upo mkoa gan au eneo gan!!

Pili kujua level yako ya elimu ili kueza kukushaur biashara ambayo inaendana na elimu yako.

Tatu ni kujua wewe binafsi una msukumo gan ndan yako ktk kitu gan ili kueza sisi kuchambua je waeza timiza ndoto yako au tukupe new idea!!

tahadhari: kua makini sana usije fanya biashara usoipenda eti kisa tu umeshauriwa, u will definitely loose ur capital!!
 
Asante sana mkuu hakika nimejifunza
 
Mkuu thanks for the above advise, nipo Dar Elimu yangu ya kawaida, nilikua na wazo la kuuza nguo za mitumba za watoto but naogopa that's why nimeweka threat for advise so nipe mbinu please. .....
 
Mbona kama unaogopa kufunguka,
Elimu ya kawaida ndio ipi hiyo?
 
Mkuu thanks for the above advise, nipo Dar Elimu yangu ya kawaida, nilikua na wazo la kuuza nguo za mitumba za watoto but naogopa that's why nimeweka threat for advise so nipe mbinu please. .....

Kweli unaelimu ya kawaida, ndo maana umeleta 'threat' humu..
 
Mkuu thanks for the above advise, nipo Dar Elimu yangu ya kawaida, nilikua na wazo la kuuza nguo za mitumba za watoto but naogopa that's why nimeweka threat for advise so nipe mbinu please. .....

nguo za watoto zinalipa sana ila tatizo ni namna ya kung'amua robota zuri lenye nguo mpya,
mara nyingine huwa wanachanganya na nguo zilizochakaa na zenye madoa ambazo utauza kwa hasara.
ukishindwa twende shambani.
 
Thanks alot
 
Back
Top Bottom