Mtaji wa million 3, kilimo cha mpunga

private agent

Member
Apr 6, 2016
83
103
Habari zenu wakuu.

Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as a net salary. Sasa katika pitapita zangu nikaotea kama ka millioni tatu hivi.

Nimeamua kuingia katika kilimo kwa kuwa kilimo nahisi ndo utajiri japo inabidi ukomae hasa, na mimi nimeshajitoa, na kilimo nilichoona kinafaa kwa kuanzia ni mpunga kwa kuwa nilishafanya biashara ya mchele kwa maana hiyo soko kidogo nalifahamu. Ila kama utakuwa na ushauri mwingine na mchanganuo wa uhakika naweza pia kufikiria kubadili, maana hapa niko katika upembuzi yakinifu.

Katika hizi millioni tatu nimetenga laki tano kwa ajili ya kukodisha ardhi hivyo nimebaki na millioni mbili na nusu. Naomba kwa wataalamu kwa hela hii naweza kuanza na hekari ngapi japo kwa kuanzia tu.
 
Hongera , wasubiri watakuja lakini walau unge onesha ni wapi unakusudia kuendeshea mradi huo
 
Habari zenu wakuu.

Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as a net salary. Sasa katika pitapita zangu nikaotea kama ka millioni tatu hivi.

Nimeamua kuingia katika kilimo kwa kuwa kilimo nahisi ndo utajiri japo inabidi ukomae hasa, na mimi nimeshajitoa, na kilimo nilichoona kinafaa kwa kuanzia ni mpunga kwa kuwa nilishafanya biashara ya mchele kwa maana hiyo soko kidogo nalifahamu. Ila kama utakuwa na ushauri mwingine na mchanganuo wa uhakika naweza pia kufikiria kubadili, maana hapa niko katika upembuzi yakinifu.

Katika hizi millioni tatu nimetenga laki tano kwa ajili ya kukodisha ardhi hivyo nimebaki na millioni mbili na nusu. Naomba kwa wataalamu kwa hela hii naweza kuanza na hekari ngapi japo kwa kuanzia tu.
Kwa sasa boss nakushauri ungenunua mpunga kisha ukauza mchele ili kupata faida ya kutosha kuongezea mtaji na kusogeza maisha, kisha mwezi wa kumi hadi wa kumi na mbili ndo unaanza harakati za kulima mwenyewe huo mpunga
 
Asante mkuu, hiyo business naindesha kwa sasa. Nina wazo kama lako hilo kwa kuwa ata msimu wenyewe wa kulima unaanza kipindi hiko hiko
 
Habari zenu wakuu.

Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as a net salary. Sasa katika pitapita zangu nikaotea kama ka millioni tatu hivi.

Nimeamua kuingia katika kilimo kwa kuwa kilimo nahisi ndo utajiri japo inabidi ukomae hasa, na mimi nimeshajitoa, na kilimo nilichoona kinafaa kwa kuanzia ni mpunga kwa kuwa nilishafanya biashara ya mchele kwa maana hiyo soko kidogo nalifahamu. Ila kama utakuwa na ushauri mwingine na mchanganuo wa uhakika naweza pia kufikiria kubadili, maana hapa niko katika upembuzi yakinifu.

Katika hizi millioni tatu nimetenga laki tano kwa ajili ya kukodisha ardhi hivyo nimebaki na millioni mbili na nusu. Naomba kwa wataalamu kwa hela hii naweza kuanza na hekari ngapi japo kwa kuanzia tu.
Vipi ulifanikiwa kuendeleza biashara hiyo ya kilimo?

Maana na wengine tunatak kuingia huko. Sasa tunasubiria huo mrejesho kutoka kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom