Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Kwanza nawashukuru walimu wangu wa msingi pili kuanzia o level hadi advance ni mwalimu mmoja tu wa Hisabati ndio nilimuelewa anaitwa pilisi
siri za mafanikio yangu
1:kumwamini Mungu nilikuwa siwezi anza kufungua daftari bila kusali kwanza
2:kuzingatia masomo hasa zaidi ya asilimia 60 za topic nimejifundisha mwenyewe
3:walimu wa Tuisheni hawa wapo ki biashara ivyo unapigwa pindi la ukweli thank kwa NDANDA BOY
 
Mwal Elias Omary Primary- Masomo yote Muhimu ya Msingi
Mwal. so much simple -Kemia na Hisabati
Mwl. KaziBure - Fizikia
 
Mwali mlekwa Azimio igogo mwanza,darasa LA nne.alinifundisha tembo kwa fimbo nying..Mungu amlaze mahali pema
 
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.

Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?

Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Amon Mose Mwamanenge
 
Mwlm mkakanze,mhando
Fokas,fernand
Mungu awabark sana

Nsingekua naperus jf leo
Kama co hawa

Kwalamahondo primary
 
Mwalimu Mbwambo Magugu primary....she is my best teacher ever
 
Mwlimu Hidden -maths
Moddy physics & Mgote -physics
Omar hakim & Mbuga - Biology
Unga & Mbuga - Chemistry

Walikuwa ni msaada mkubwa kwa wanafunzi na Bado wanaendelea kuwa msaada.
Wamenisaidia kwenda shule ya vipaji japo Sina kipaji maalumu,Ningetamani waendelee kutufundisha mpaka chuo sababu ya mazoea
NOTE:
bila kuongeza juhudi binafsi huwezi kufanikiwa.
mkuu samahani huyu omar hakim ni mfupi hivi na ana kigugumizi?
 
Mwalimu Kikanya, shuke ya msingi Makole Dodoma

Alinifanya nifahamu na niipende Hesabu hadi leo pamoja na masomo ya sayansi
 
Ningemtaja mwalimu wangu lakini hakika hataweza kutambua mimi ni nani kwani watu wengi wamepita mikononi mwake.
 
Namkumbuka sana mwl Chialo(Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi). Alinifundisha mathematics nikiwa Iyunga Tech
Kijana wa iyunga itakuwa nilikuacha nyuma maana wakati tunatoka kina chialo ndio walikuwa wanatoka chuo
 
Nilipokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Ahaaaa kumbe ni wewe
 
Back
Top Bottom