Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Charya Primary school

1. Madam Nyamtherema, Huyu Mungu amuweke saana japo sijui alipo saivi ila ndiye alinifundisha kusoma na kuandika tena chini kwenye mchanga,ahsante sana mwl.wangu

2.Mwl. Omun'ga R.I.P

3.Mwl. Juma Ayoko
4.Mwl. Nyaiga
5.Mwl.Kikobwe
6.Mwl. Happy Owajwa

N'gope Primary

1.Mwl. O'gayo
2.Agalla
3.Kambi nyamasi
4.Martin Otuoma

O'leve Roche Secondary

1.Mwl. Mingwa John
2.Madam Mwagama
3.Madam Zipora
4.Mwl. Oonje

Shukrani sana walimu wangu mchango wenu kwangu ni mkubwa sana japo nimepitia shule za kayumba zote izo ila nilivofika chuo kutokana na misingi mizuri mliyonipa ufaulu wangu umekuwa mkubwa sana hadi watoto niliokutana nao waliosoma International schools hawagusi kabisa.
 
Back
Top Bottom