Unabishana na Kamusi Project?
Rehani siyo pawning, ni kile kitu kilichowekwa pawn.Umeona hiyo story ya Rais wa Yanga kujiweka rehani?
The act of putting something up as pawn is mortgaging that something. Ukiweka dhahabu yako pawn umeimortgage ile dhahabu.Utakuwa unailipia mpaka uikomboe.
Thats why I concurr with Kamusi Project in saying rehani = mortgage.
Lugha kweli ni sanaa!
Mzee naona kwenye bold umechanganya na "layaway." Au layaway = mortgage?
Duh ndugu yangu, unajua si tunao survive kwenye section 8, tuna layaway mpaka mchele kwa Wal-mart. LOLare you hood enuff?
Pawning siyo layaway, layaway (is when you want to buy something but cannot pay it off, so you pay in installment and when you finish the payments you can collect the goods.
Pawning, is like you want some money and are broke, but you have this gold chain (teja analiza home?) So you go to the pawn shop, mortgage I dare say the chain (kuiweka rehani/security for the loan), and the pawn shop guy gives you some money, when you finish your business and can redeem the mortgaged cahain you come back to the pawn shop and pay the pawn shop guy and they give you back your money.
Kuweka reahni ndiyo mortgaging.Utaona hapo juu kwamba mortgage na layaway ni tofauti.Kwenye mortgage unapewa kitu kabla ya kukilipia kwa sababu umetoa security, kwenye layaway hutoi security na hupewi kitu mpaka umalize kulipia by installment.
Bado ninaamini kuwa rehani ni deposit. Tofauti kidogo na pawning, unapokwenda kuazima gari na kuweka rehani (deposit) ya Tshs. 500, halafu ukirudisha lile gari katika hali inayokubalika, unarudishiwa 500 yako. Hiyo ndiyo rehani (Deposit)
Mwanakijiji,
Lini umebadilisha picha yako. Naona unazeeka upesi:-
bwana we... uzee unakuja kwa kasi.. na njaa hii nimeona kuonesha mimea si nzuri bora jembe..
ndiyo bwana.. si miye nilienda na kibasikweli changu chenye gia nikataka kukiweka layaway.... wakantolea nje..!
MM,
Utawekaje basikweli yako layaway?
Ninavyojua mimi layaway is, and here dictionary.com clarifies
a method of purchasing by which the purchaser reserves an article with a down payment and claims it only after paying the full balance.
Sasa wewe unaongelea layaway au kitu kingine?
Hivi "Mortgage" ndio inaitwaje kwa Kiswahili?
INAITWA KARADHA
Hivi "Mortgage" ndio inaitwaje kwa Kiswahili?
Muda si mrefu ujao Bunge letu litajadili mswada wa mortgage (neno la Kiswahili au kiarabu sina) ili kurahisisha watu kupata mikopo ya kununua/kujenga nyumba zao wenyewe. Binafsi sijauona lakini ningetamani sana kuuona kwani nina experience ya kufanya kazi kwa muda katika Mortgage industry na hilo ni baadhi ya maeneo ambayo naweza kuzungumza kwa mamlaka kweli.
Tunaomba mwenye mswada huu watupitishie ili tuutolee maoni, hofu yangu ni kuwa endapo utapitishwa waweza kuwa umetanguliza mkokoteni mbele, halafu punda nyuma! Nani amvute nani?
They should also use the experience from the American sub-prime mess.
Huwezi kuwa na mortgage kama huna credit rating system, wata li address vipi swala la credit rating bongo wakati we operate in a largely non-credit economy (at least for non corporate entities anyway)