22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 495
- 137
Hey Great thinkers!!!!!!!
natatizwa kidogo, eti msomi(so called educated) ni nani? aliyemaliza darasa la saba, form four, six ,degree,masters,pHD?
naomba nijuzeni maana hili neno msomi linanichanganya kidogo linapokuja kwenye maswala hata ya mtu anapoongea kiingereza anaitwa msomi(kwa tanzania), hii inamaana hata yule mtoto wa chekechea anaitwa msomi?
naomba maana please!!!!!!!!!!!!!!